Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Ulitakiwa ujiulize maswali yafuatayo:

Kipindi vurugu na mateso dhidi ya Wapinzani vikifanyika na wananchi gani walihusishwa kutekeleza hayo?

Je kuna wananchi walisimama kukemea vitendo vile zaidi ya viongozi Wapinzani.

Kipindi Lisu anapigwa Risasi uliandika hapa kuhimiza wananchi wapaze sauti kudhibiti vitendo hivyo.

Kipindi uchafuzi wa 2020 unafanyika uliandika chochote kuhimiza wananchi watafute maridhiano?
 
Naomba Mungu kila siku muache tabia yenu ya wizi.
t
Kwakua mkiacha kuliibia Taifa hili ndio siku wananchi wa kawaida watanufaika na Rasilimali zao.

Kila jambo linaa mwisho wake hata wizi wenu nao una mwisho.

Mtakufa naa kuacha fedha zotee mlizoiba itakua ni sawa na kaazibure...t

Mtaiiba sana illa kila kitu mtakiachaa hapa.
Ujumbe wako ni mzuri sana ila tatizo ni moja tu kwamba yule mtu ambaye hakubaliani na Magufuri basi ni Mwizi na ni Cheti feki.Ukweli ni kwamba wizi kwenye fedha za umma ni dhambi isiyosameheka kirahisi kwani ni kinyume na maadili ya Utumishi wa umma pia ni dhambi kwa mwenyezi Mungu.
 
Makundi mbalimbali ya wananchi yalitakiwa yatoke wawakilishi ktk kile kilichoitwa maridhiano ya kitaifa.

Uchaguzi Kwa mfano wa wabunge ulitakiwa urudiwe au kupunguza baadhi ya wabunge wa CCM na kuongeza wa Vyama kinzani.
 
Tutajie vipengele vya haya maridhiano mkuu tafadhali.
Mikutano ya hadhara iruhusiwe
Siasa za kistaarabu bila kuvunja sheria
Kufuta kesi za kisiasa
Katiba mpya na tume huru
Uchaguzi kuwa huru
polisi wasijihusishe na siasa
 
Back
Top Bottom