Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
- Thread starter
- #61
Naomba Mungu kila siku muache tabia yenu ya wizi.Kumbe tunaposikia kuwa DRC,Somalia,South Sudan watu wanachapana ni hizi hizi tabia mlizo nazo za kimatabaka tabaka,ashukuriwe Mungu aliyemwondoa mwasisi wa mambo haya,nyie endeleeni tu kwa vile hamna meno mtaendelea tu kubwabwaja mpaka mfe muishe kabisa hapo hali itakuwa shwri.
t
Kwakua mkiacha kuliibia Taifa hili ndio siku wananchi wa kawaida watanufaika na Rasilimali zao.
Kila jambo linaa mwisho wake hata wizi wenu nao una mwisho.
Mtakufa naa kuacha fedha zotee mlizoiba itakua ni sawa na kaazibure...t
Mtaiiba sana illa kila kitu mtakiachaa hapa.