Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.

Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.

Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.

Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.

Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.

Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.

Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.

Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
Rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana wapuuzi wakubwa nyie
 
Kwanza wanaccm halisia hatuna haja ya maridhiano na chadema kama hali yenyewe eti mbowe anadai serikali ya ccm iombe radhi. Iombe radhi kwa kitu gani? Awamu ya 5 ilikua ya kutukuka ila lengo la hawa vibaraka ni kumdermonise magufuli kwa malengo mapana ya mabebetu.
Labda maridhiano hsya ni kati ya chadema na ccm masilahi. Na ndio maana 2025 ccm inahitaji mgombea urais kutoka ccm asilia.
 
Kwanza wanaccm halisi hstuna haja ya maridhiano na chadema kama hali yenyewe eti mbowe anadai serikali ya ccm iombe radhi. Iombe radhi kws kitu gani. Awamu ya 5 ilikua ya kutukuka ila lengo la hawa vibaraka ni kumdermonise magufuli kwa malengo mapana ya mabebetu.
Labda maridhiano ni kati ya chadema na ccm masilahi. Na ndio maana 2025 ccm inahitaji mgombea urais kutoka ccm asilia.
Hahaha. Hapa ndio umetoa dukuduku lako hasa mkuu. Hutaki mtukufu aguswe kabisa kwa yale ya kipepo aliyofanya. Wewe kama sio ndugu yai ni bahati haha.
 
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.

Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.

Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.

Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.

Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.

Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.

Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.

Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
Gambo tumekuletea lema uhangaike nae, maridhiano sio level yako kujadili.

Tumewastukia
 
Kama halikuhusu tulia, watu wakiridhiana ni furaha kwa Mungu na watu wake walakini shetani na machawa wake ni makasiriko...
shetani angependa watu watekwe,wauwawe,wapigane risasi,wafukuzane bungeni,wakimbie nchi nk. Jiulize ukowapi
 
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.

Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.

Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.

Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.

Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.

Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.

Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.

Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
Hayo ni mazungumzo ya kurejesha nchi yetu kwenye utimamu baada kupitiwa na uwenda wazimu. Aidha mazungumzo hayo yataikomboa pia ccm kutoka kwenye 'cabal' iliyoiteka nyara na kuitumia kinyume kabisa na historia, misingi na sera zake. Kuyaita batili ni 'umagufulista' mtupu. Mazungumzo yanayoendelea hayahusu wana-ccm hata kidogo kwani chama hicho kakijapata kuasisi sera ya ubaguzi na uharamia dhidi ya vyama vya upinzani na zaidi hasa Chadema. Rais SSH anayatumia mazungumzo hayo kujinasua kwenye genge la kiharamia lillojijenga kwa miaka hii yote. Ni wapi wana-ccm walipowatuma viongozi wake kuua vyama vya upinzani ifikapo 2020? Ni wapi Wana-ccm walishirikishwa uamuzi huo pamoja na kupiga marufuku shughuli za kisiasa? Je, wana-ccm walishirikishwa wapi kuasisi sera iliyotamalaki kuanzia 2016 ya ukandamizaji, upororaji na mauaji ya kisiasa. Haya yote yalitekelezwa kwa utashi wa mtu mmoja tu ambaye kwa akili yake mbaya sana alijimilisha chama, serikali na nchi. Kusema kweli uongozi uliopo sasa ungekuwa imara na kujiamini wala kusingekuwa na mazungumzo yoyote kuhusu kuondokana na huu uwendawazimu. Lilikuwa jambo la kuwaomba tu wananchi radhi na kukomesha ushetani huo mara moja.
 
Wanaridhiana kitu gani? Aliyesema pana uhitaji kwa kuridhishana ni nani? Nani ananufaika katika kuridhishana kwao, wanasiasa au wananchi? Je kwanini katika vyama lukuki vya siasa nchini wanaoridhishana ni CCM na CHADEMA tu? Upuuzi mtupu
 
NENDA MAGEREZA KASHTAKI JE MATESO WALIOPITIA VIONGONI NA WAFUASI WA CHADEMA WANANCHI WALUSHIRIKISHWA?
Mateso gani? Kutakua na kuridhiana na makundi yote yanayopitia mateso au chadema tu? Kwamfano wakulima wanapitia mateso, wataridhiana lini? Machinga wanapitia mateso, wataenda kuridhiana nao lini?
 
Kumbe tunaposikia kuwa DRC,Somalia,South Sudan watu wanachapana ni hizi hizi tabia mlizo nazo za kimatabaka tabaka,ashukuriwe Mungu aliyemwondoa mwasisi wa mambo haya,nyie endeleeni tu kwa vile hamna meno mtaendelea tu kubwabwaja mpaka mfe muishe kabisa hapo hali itakuwa shwri.
Baada ya hapa tutakuja kutunga sheria na kuweka utaratibu wa kupata ukweli wa kipindi hiki cha 2016-2021 na wote waliohusika kufahamika na ikibidi kushtakiwa.
 
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.

Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.

Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.

Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.

Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.

Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.

Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.

Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
Genge S hampendi maridhiano.
 
Maridhiano ni kwa ajili ya waliokoseana. CCM na Chadema wanajua waliokoseana ndiyo maana wamekuja na hayo maridhiano. Hao wengine unaowataja wewe hawahusiki. Ndiyo maana hujui.

Kuhusu wapi wamekosa a tayari wameshasema. Ila tu wewe hutaki kukubali kwa makusudi ili ueneze propaganda yako. Nyie ndiyo wale Wahafidhina aliowasema Maza. Mtapata tabu sana. Kazi inaendelea.
 
Unwazo zuri ila linatakiwa lirekebishwe kidogo, maridhiano Sio batili ila ingependeza kwa kuwa ni maridhiano ya taasisi mbili zingewekwa wazi kwa wanachama wake ili wote wajue mwelekeo wao na kauli ya kulamba asali ndo itakapo isha hapo
Ndio nilichokiandika hapa mkuu.

Ila naona kuna kina mama hapa wananishupalia kama mwenye nyumba anayedai kodi.
 
Back
Top Bottom