Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Wanaridhiana kitu gani? Aliyesema pana uhitaji kwa kuridhishana ni nani? Nani ananufaika katika kuridhishana kwao, wanasiasa au wananchi? Je kwanini katika vyama lukuki vya siasa nchini wanaoridhishana ni CCM na CHADEMA tu? Upuuzi mtupu

Maridhiano ni Kati ya CHADEMA na CCM Kama vyama vingine vinataka maridhiano viende viombe mazungumzo.
 
Mateso gani? Kutakua na kuridhiana na makundi yote yanayopitia mateso au chadema tu? Kwamfano wakulima wanapitia mateso, wataridhiana lini? Machinga wanapitia mateso, wataenda kuridhiana nao lini?

Maridhiano yana apply kwenye siasa sio shughuli za uchumi. Hao wakulima na machinga matatizo yao yatashughulikiwa kwenye bajeti.
 
Naomba Mungu kila siku muache tabia yenu ya wizi.
t
Kwakua mkiacha kuliibia Taifa hili ndio siku wananchi wa kawaida watanufaika na Rasilimali zao.

Kila jambo linaa mwisho wake hata wizi wenu nao una mwisho.

Mtakufa naa kuacha fedha zotee mlizoiba itakua ni sawa na kaazibure...t

Mtaiiba sana illa kila kitu mtakiachaa hapa.

Mwizi Ni yule aliyetorosha fedha na kuoeleka China.
 
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.

Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.

Wananchi gani?. Wananchi wamewashtukia wezi wa pesa za plea bargain na kuzificha China. Hujasikia familia ya hans pope inadai mabilioni iliyoibiwa?.
 
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.

Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.

Lema katukana wapi?. Kusema bodaboda imegeuka kuwa kazi ya laana ni tusi?
 
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.

Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.

Msiwatumie wanachi Kama kinga ya maovu yenu.
 
Machadema ya kawaida yanaumia kimoyomoyo,
Ila viongozi wa juu wanaramba asali eti ili kufuta machungu ya awamu ya tano

Hayo unasema wewe, na wewe ndio unayeumia. Maana ulikuwa mstari wa mbele kufurahia mateso ya CHADEMA yaliyofanywa na yule ibilisi.
 
Maridhiano yana apply kwenye siasa sio shughuli za uchumi. Hao wakulima na machinga matatizo yao yatashughulikiwa kwenye bajeti.
Yatashunghulikiwa lini? Kipi chenye umuhimu zaidi kati ya wanasiasa na wananchi kwa ujumla?
 
Kinacho takiwa ni taarifa ya walio kubaliana
Then ukishapewa taarifa ndiyo ufanye kitu gani? Kwa kuwa hakuna unachoweza kubadilisha hivyo kupewa au kutokupewa taarifa siyo issue, hivi haijiulizi kwanini vyama vingine havihusishwi? Umuhimu wao ni zero yaani hauna impact yoyote kama umuhimu wa wewe kupata hizo dondoo za maridhiano usivyo na impact yoyote.
Let's be realistic, msijipe umuhimu ambao kiuhalisia hamna.
 
Aliyeleta hayo ni wewe. Watu wamejikita kwenye hadaa ya Maridhiano, wewe unakuja kumtaja Hayati? Huoni wewe ndio bado una Shida! Unahuzunika nini sasa?
Yaani I mean wasioyapenda maridhiano hayo mostly ni walinda "ligasi" wa lile shetani la Chato
 
Yaani I mean wasioyapenda maridhiano hayo mostly ni walinda "ligasi" wa lile shetani la Chato
Huo mtazamo wako unatokana na kutokuamini katika kutofautiana mawazo ndio maana unafikiri kuwa chadema wote hawatofautiani mawazo kwamba wana mawazo sawa kwa kila jambo, na kama ni kweli ipo hivyo basi hatari sana.
 
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.

Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.

Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.

Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.

Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.

Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.

Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.

Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
UNAJUA MAANA YA VIONGOZI?
UNATAKA WANACHAMA WAENDE MAHAKAMANI BADALA YA BODI YA WADHAMINI(Ambayo ndo inawakilisha wanachama) KUJIELEZA KUHUSU COVID-19.
KAMA HUKUWAHI KUPITA DARASANI HUKU HAKUKUFAI NA HATA SIASA HAIKUFAI MAANA UTAKUWA UNASUMBUA VIONGOZI KWA UELEWA WAKO MDOGO.

JISEPEE TU HUKU KAKAE NA MUMEO AKUPE DARASA
 
Mkuu kwanini kila anayehoji maridhiano yenu mnadhani ni mshabiki wa CCM ?
MARIDHIANO YENU KINA NANI.
KAMA UNA WELEDI BASI TAMBUA MARIDHIANO HAYAWEZI KUWA YA UPANDE MMOJA.
HIVYO UKITAJA MARIDHIANO USIACHE KUJUMUISHA CDM NA CCM. ILA KAMA WEWE NI POYOYO UBAKI NA UELEWA WAKO
 
Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.
Wewe nenda katafute hela ya kula na wanao kwani hata ukishirikishwa huna mchango wowote wa kutoa!
 
Wewe nenda katafute hela ya kula na wanao kwani hata ukishirikishwa huna mchango wowote wa kutoa!
Wewe mjinga kweli maana hata elimu ya kawaida kabisa ya uraia huna.

Hiyo ni haki yetu ya msingi sisi tuelezwe kama wananchi ambao ndio wenye nchi.

Hao ni watumishi wetu tu na kodi zetu ndio zinawatunza wao na familia zao.
 
Back
Top Bottom