Safi sana.Baada ya hapa tutakuja kutunga sheria na kuweka utaratibu wa kupata ukweli wa kipindi hiki cha 2016-2021 na wote waliohusika kufahamika na ikibidi kushtakiwa.
Ujumbe wako ni mzuri sana ila tatizo ni moja tu kwamba yule mtu ambaye hakubaliani na Magufuri basi ni Mwizi na ni Cheti feki.Ukweli ni kwamba wizi kwenye fedha za umma ni dhambi isiyosameheka kirahisi kwani ni kinyume na maadili ya Utumishi wa umma pia ni dhambi kwa mwenyezi Mungu.Naomba Mungu kila siku muache tabia yenu ya wizi.
t
Kwakua mkiacha kuliibia Taifa hili ndio siku wananchi wa kawaida watanufaika na Rasilimali zao.
Kila jambo linaa mwisho wake hata wizi wenu nao una mwisho.
Mtakufa naa kuacha fedha zotee mlizoiba itakua ni sawa na kaazibure...t
Mtaiiba sana illa kila kitu mtakiachaa hapa.
Mikutano ya hadhara iruhusiweTutajie vipengele vya haya maridhiano mkuu tafadhali.
Wlijadiliana maridhiano yafanyike kuliko kutumia nguvu kwani nguvu ni hatari kwa usalama wa raiaUnaweza kutueleza wamejadiliana na kukubaliana nini??