Maridhiano yanayoendelea ni hadaa kwa Taifa. Vyama vijitoe kabla havijakaangwa

Maridhiano yanayoendelea ni hadaa kwa Taifa. Vyama vijitoe kabla havijakaangwa

Chadema wajifunze Zanzibar tokea mwaka 1995 kila baada ya uchaguzi kunafanyika maridhiano na wanaohitaji maridhiano ni wapinzani sio CCM . Hizo ndio mbinu za CCM kupoteza malengo ya wapinzani na kupoteza muda. Bila ya katiba mpya na tume huru upinzani hauwezi kufanikiwa.
Mimi niliwahi kupiga kura mwaka 1995 baada ya Yale yaliyotokea katika uchaguzi ule hasa Zanzibar niliwahi kuongea na baadhi ya viongozi wa upinzani nikawambia kwamba wasikubali kushiriki uchaguzi wowote bila ya kuwa na tume huru na kubadilishwa katiba, na tokea uchaguzi wa 1995 sijapiga kura na sitopiga bila ya kuwepo mabadiliko hayo.
 
Vikishajitoa nini kifuate?

Hatutaki andamana
Mkisusa uchaguzi ACT wanapitishwa mnapoteana
 
Back
Top Bottom