Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Kwani simba leo kawa Mungu? kuna ulazima gan wa wasanij wote kumuabudu?
Simba ndio baba wa bongofleva uelewi nini? Yeye marioo alikuwa anafata nini kwa Simba si angeenda kwa ali kiba au mzee small wa mtwara
 
Na hapo WCB kuna international artist gani ukiacha Diamond ambaye naye hajawahii kujaza arena yoyote ile kama solo artist nje ya Africa???...

Au hujaona Zuchu ambaye ndio msanii mkubwa wa pili kwa Numbers WCB alivyofeli kujaza ukumbi USA

Au ndugu zetu kwenda global mnadhani ni nini , kujilikana EAST AND CENTRAL AFRICA ambapo marioo kashafika

Mkuu marioo hakutokea WCB wala si kwa influence ya Diamond, amefika kwenye hiyo peak on his own.. Put some respect on his name

Sijaona mantiki ya kumtisha marioo as if Diamond ana position kama aliyokuwa nayo ruge kwenye industry
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…