Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Maximum_Risk_Poster.jpg
 
Hahahaa ziko nyingi sana. Jikumbushie kati ya hizi utafurahi


CHUKK NORRIS-Missing In Action
View attachment 2584035

Sylevester Stallone-First Blood
View attachment 2584033


Michael Dudikoff–Soldier Boys
View attachment 2584017


NAM ANGELS- Jamaa waliingia vitani na pikipiki. Waliwachakaza sana Wavietnam
View attachment 2584020



HEROES NO SHED NO TEARS-kuna kamanda alipewa jina la 'Kamanda Bakora Bin Mkwaju'
View attachment 2584034

WARBUS
View attachment 2584019


BULLET IN THE HEAD
View attachment 2584021
Ila 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana 🤣🤣🤣 af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
 
ila hawa viumbe watu hatari sana @Mzee wa kupambania .. ndio maana ukijua unatombewaaa unaweza kuaa.. mademu huwa wana wa diss sana wanaaa 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 ndo maana kugongewa inauma sana kwa sababu ukikumbuka jinsi wanavyowadiss jamaa zao pale 6×6

Mimi nasemaga nikijua demu kanisaliti hapo hamna msamaha hata alie, apige magoti, ajigalagaze hapo chini
 
Mpaka Sasa hakujawai kutoka kichwani.
Ndandanda nda nda nda×4
Haa James kitambo hatijaonana mara ya mwisho ilikuwa 2018 ktk jukwa la intelligence Sijajua kwanini picha za zamani zinaleta hisia kusahau ni ngumu au kwakuwa zilikuwa chache hivyo tulikuwa na uwezo wa kuangalia mara kwa mara
 
Hahahaa ziko nyingi sana. Jikumbushie kati ya hizi utafurahi


CHUCK NORRIS-Missing In Action
View attachment 2584035

Sylevester Stallone-First Blood
View attachment 2584033


Michael Dudikoff–Soldier Boys
View attachment 2584017


NAM ANGELS- Jamaa waliingia vitani na pikipiki. Waliwachakaza sana Wavietnam
View attachment 2584020



HEROES NO SHED NO TEARS-kuna kamanda alipewa jina la 'Kamanda Bakora Bin Mkwaju'
View attachment 2584034

WARBUS
View attachment 2584019


BULLET IN THE HEAD
View attachment 2584021
Wee Mzee ahsante umenikumbusha mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]enzi za VHS
Choc Norris nomaa
 
Michelle Yeoh
 

Attachments

  • Screenshot_20230411_091105_Chrome.jpg
    Screenshot_20230411_091105_Chrome.jpg
    83.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230411_091400_Chrome.jpg
    Screenshot_20230411_091400_Chrome.jpg
    92.1 KB · Views: 3
Oya Nesi kapona kweli 🤣🤣🤣???
Aponeee wapii 😅😅😅
Kaisha vizuri.. nilikuwa nacheka kimoyo moyo anavyomkandia jamaa yake 😅😅😅
Ukitaka sikia maneno ya shombo ya mdada kwa mwamba wake mkojoze mfikishe vilele vyotee ndio utajua walivyo na maneno ya shombo

Alafu nikaanza kama mfagilia mshikaji wake.. ukuda sana haya mambo
 
Kuna ile mzee anachomwa moto mbele ya mtoto wake kumbe kajifukia chini. Adui anapigwa risasi ya jicho heka heka mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]. Kwanza kuna muda starring ni kama alishonwa usoni bila ganzi yaani movie full visanga tu.
Muvi Gani hii..
 
Back
Top Bottom