Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #181
TrueHUU UZI NO DHAHABU SANA
mmenikumbusha mbali Sana wakuu[emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueHUU UZI NO DHAHABU SANA
mmenikumbusha mbali Sana wakuu[emoji119]
Ila 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana 🤣🤣🤣 af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.Hahahaa ziko nyingi sana. Jikumbushie kati ya hizi utafurahi
CHUKK NORRIS-Missing In Action
View attachment 2584035
Sylevester Stallone-First Blood
View attachment 2584033
Michael Dudikoff–Soldier Boys
View attachment 2584017
NAM ANGELS- Jamaa waliingia vitani na pikipiki. Waliwachakaza sana Wavietnam
View attachment 2584020
HEROES NO SHED NO TEARS-kuna kamanda alipewa jina la 'Kamanda Bakora Bin Mkwaju'
View attachment 2584034
WARBUS
View attachment 2584019
BULLET IN THE HEAD
View attachment 2584021
Oya Nesi kapona kweli 🤣🤣🤣???lazima uwe na mbinu za kivita kama unaanzisha vita 😅😅😅 kama unamkula manzi wa mtu usimle mkoa husika mnao ishi wote hii sheria namba moja kama huwezi usianzishe mtanange na wajaa.. lolote laweza kukuta 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 ndo maana kugongewa inauma sana kwa sababu ukikumbuka jinsi wanavyowadiss jamaa zao pale 6×6ila hawa viumbe watu hatari sana @Mzee wa kupambania .. ndio maana ukijua unatombewaaa unaweza kuaa.. mademu huwa wana wa diss sana wanaaa 😅😅😅
Movies za kawaida sana cha kushangaza kwenye box office mauzo ni makubwaSikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
Haa James kitambo hatijaonana mara ya mwisho ilikuwa 2018 ktk jukwa la intelligence Sijajua kwanini picha za zamani zinaleta hisia kusahau ni ngumu au kwakuwa zilikuwa chache hivyo tulikuwa na uwezo wa kuangalia mara kwa maraMpaka Sasa hakujawai kutoka kichwani.
Ndandanda nda nda nda×4
Kwenye list tuongezee hizi mbili...Ila 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana 🤣🤣🤣 af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
Kalifariki kale kadem aisee,so sad.Kale kademu kalikuwa waluwalu sana
Hahaha...nakumbuka enzi hizo aseehhHuu ndo ulikuwa mwanzo wa utani wa "para kama solo"
Utafanywa mbaya brooo we haya tu[emoji16]AUnt mambo vipi.. kumekucha [emoji28][emoji28].. tunasaidia na ndugu zetu wajeda kwenye majukumu muhimu kama hayo
Wee Mzee ahsante umenikumbusha mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]enzi za VHSHahahaa ziko nyingi sana. Jikumbushie kati ya hizi utafurahi
CHUCK NORRIS-Missing In Action
View attachment 2584035
Sylevester Stallone-First Blood
View attachment 2584033
Michael Dudikoff–Soldier Boys
View attachment 2584017
NAM ANGELS- Jamaa waliingia vitani na pikipiki. Waliwachakaza sana Wavietnam
View attachment 2584020
HEROES NO SHED NO TEARS-kuna kamanda alipewa jina la 'Kamanda Bakora Bin Mkwaju'
View attachment 2584034
WARBUS
View attachment 2584019
BULLET IN THE HEAD
View attachment 2584021
Kweli movie za Sasa nyingi hazina amsha amsha Tena uwe makini kucheki na watoto unaweza Kuta wanakulana live liveIla 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
TrueHaa James kitambo hatijaonana mara ya mwisho ilikuwa 2018 ktk jukwa la intelligence Sijajua kwanini picha za zamani zinaleta hisia kusahau ni ngumu au kwakuwa zilikuwa chache hivyo tulikuwa na uwezo wa kuangalia mara kwa mara
😅😅😅 wasela tuna kazi sana🤣🤣🤣🤣 ndo maana kugongewa inauma sana kwa sababu ukikumbuka jinsi wanavyowadiss jamaa zao pale 6×6
Mimi nasemaga nikijua demu kanisaliti hapo hamna msamaha hata alie, apige magoti, ajigalagaze hapo chini
sobotoooUtafanywa mbaya brooo we haya tu[emoji16]
Sio kidogo 😀😅😅😅 wasela tuna kazi sana
Aponeee wapii 😅😅😅Oya Nesi kapona kweli 🤣🤣🤣???
Muvi Gani hii..Kuna ile mzee anachomwa moto mbele ya mtoto wake kumbe kajifukia chini. Adui anapigwa risasi ya jicho heka heka mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]. Kwanza kuna muda starring ni kama alishonwa usoni bila ganzi yaani movie full visanga tu.