Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeah kama hiyo. Mimi naikumbuka ya zamani kuitazama ya nyonya damu ilikuwa 'From Dusk Till Dawn' usingelala wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] Texas blood money? Kama ni hiyo niliona tu trailer nikala kona. Za hivyo zinanishtua nashindwa kuangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi hapa nahisi nitapa jibu.
Kuna movie siikumbuki jina maana ni kitambo sana.wameifanyia Nepal kwa mujibu wa Mkandara 'Lufufu' star anaitwa Jonathan Gaboth.
Jamaa wanashindana halafu bingwa atamuoa mtoto wa mfalme.
Kuna sehemu wanaingizwa kwenye shamba la muwa halafu wanachoma moto.watu walikufa kwa moto kinoma, halafu kuna kipande wanapanda kwenye juu ya ngema kwa kutumia kamba kumbe kamba zimepakwa petrol.
Kwa anaeikumbuka jina please.
 
Yule kaka kule mashamban alikua na fulana nyeusi na surual nyeupe. Hii movie naitafuta hadi leo lkn wapi sijawah bahatika. Kuna sehemu wanaingia kama mapangoni kuna majitu kama mizimu hivi. Sijui ni hiyo au naifananisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nilimkubali kweny movie inaitwa "Cold Harvest" ni mkali hatari ile kakaake aliuliwa kwa ule mchezo wa kupewa risasi uweke kweny bastole ukiwahi unamshoot mwenzio
Kwny movie yake nyingine ya RAGE nilimkubali Sana Gary Daniels.

Kuna movie yake nyingine ya jamaa sikumbuki jina Ila nakumbuka alifungwa jela afu mke wake akampelekea radio zile za betri kubwa na Kule alikua ameficha pesa.
 
Back
Top Bottom