Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

Kwani waga wanasema ukweli sasa..!? Ingekua ni schedule ya system maintenances lazima ange alert watumiaji mapema.

Ila inaonekana kabisa kapigwa tukio penyewe..
Ila ametusababishia hasara na sisi kwa kuzani simu zetu zimecheza.
 
Yaani 6 bil in few hours, je anatengeneza sh ngapi kwa mwezi.. ? aaa wacha nikaombe adv salary nikapunguze ada.
Hapo ukimuomba atakusaidia.
Ila watu wanampunga hatari kweli hao ndio wanafaidi dunia yetu.
 
Jana watu waifanya kazi
Jana ndio kazi haikufanyika maana watu walikuwa wanawaza mengi sana kama ni tatizo la simu au nini.
Hivyo ilipelekea kazi nyingi kusimama.
 
Facebook na Google inabidi wawe na mpinzani
Wapinzani wapo sema hawajawa na nguvu sana kama huyo mshindani wa Google ndio hajawa na nguvu ila Facebook wapo washindani wengi.
 
Ivi zile text zao za kuverify namba nazo zimekaaje mdau.....ule ujumbe ni wa google au hackers
 
Watu wana pesa zao ná huyu utajiri wake haujafikisha hata miaka 25 kama sikosei.

Nusu ya Budget yetu kwa mwaka dadeki...hapo ndo utajuta hujui..
 
Ivi zile text zao za kuverify namba nazo zimekaaje mdau.....ule ujumbe ni wa google au hackers
Zile huwa zinakuja kama usalama umekuwa finyu nadhani, wanakuletea kama kuna mtu kajaribu kulogin email yako, so huleta text ili wajiridhishe google kama je ni wewe umetumia kifaa kingne kuingia kwenye akaunt yako au la? Na ndo mana huwa wanatumia email yako kuitumianamba kadhaa ili kama ni wewe uzitumie zile no kwenye kifaa kingne ambapo itatoa uhitaji wa hizo namba ili kusonga mbele. Nadhani ipo hivo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…