Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

Kwani waga wanasema ukweli sasa..!? Ingekua ni schedule ya system maintenances lazima ange alert watumiaji mapema.

Ila inaonekana kabisa kapigwa tukio penyewe..
Ila ametusababishia hasara na sisi kwa kuzani simu zetu zimecheza.
 
Yaani 6 bil in few hours, je anatengeneza sh ngapi kwa mwezi.. ? aaa wacha nikaombe adv salary nikapunguze ada.
Hapo ukimuomba atakusaidia.
Ila watu wanampunga hatari kweli hao ndio wanafaidi dunia yetu.
 
Jana watu waifanya kazi
Jana ndio kazi haikufanyika maana watu walikuwa wanawaza mengi sana kama ni tatizo la simu au nini.
Hivyo ilipelekea kazi nyingi kusimama.
 
Facebook na Google inabidi wawe na mpinzani
Wapinzani wapo sema hawajawa na nguvu sana kama huyo mshindani wa Google ndio hajawa na nguvu ila Facebook wapo washindani wengi.
 
Bora ya ww walilog out tu ikaisha, mm kuna jamaa tulikuwa tunachat nae fb kama rafk badae tukabadilishana no, e bwana we, ck moja nikatumia email notification kuwa someone else trying to login to ur google account. Nilipuuza nikajiaminisha hawezi kuingia coz nimeweka pin moja strong sanaaa[emoji23][emoji23], baada ya kwenye lisaa hivi wakat natumia sm ikawa inaenda ovyo tu, nikajua imejaa ngoja nifute baadhi ya vitu. Wakat naendelea kushangaa nikaona sm inaniletea phone is going deep fomatin[emoji16][emoji16] yani kama vile movie nikaona inajiweka okay! Eee bana simu ikazungukaaa mwishowe ikazima alafu ikajiwasha[emoji16][emoji16][emoji16], ikawa kama ilivotoka dukan kuanza kuifanyia setting. Nilivyomaliza nikaingia fb tena nikaona yule msenge amenitumia picha za screen shot ambazo alipiga kwenye simu yang pich zangu, video zilizokuwepo, majina yote alafu likaniblock!! Heee kichwa kilitaka kupasuka, nikaingia google faster kubadili password nikaiwekea na ulinzi mkubwa, nikaenda playstore nikadownload app ya kugundua haraka kama cm inataka kuhakiwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],. Nyieee awa mahacker ni moto[emoji16][emoji16], badae nikasema ngoja nione login history ya google akaunt yng nikakuta simu iliyo login muda akaunt inafutika ilikuwa Samsung Galaxy S10 wakati mimi natumia infinix hot 6 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], kuanzia hapo nilifuta akaunt ya fb kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ivi zile text zao za kuverify namba nazo zimekaaje mdau.....ule ujumbe ni wa google au hackers
 
Ivi zile text zao za kuverify namba nazo zimekaaje mdau.....ule ujumbe ni wa google au hackers
Zile huwa zinakuja kama usalama umekuwa finyu nadhani, wanakuletea kama kuna mtu kajaribu kulogin email yako, so huleta text ili wajiridhishe google kama je ni wewe umetumia kifaa kingne kuingia kwenye akaunt yako au la? Na ndo mana huwa wanatumia email yako kuitumianamba kadhaa ili kama ni wewe uzitumie zile no kwenye kifaa kingne ambapo itatoa uhitaji wa hizo namba ili kusonga mbele. Nadhani ipo hivo mkuu
 
Back
Top Bottom