Uchaguzi 2020 Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Wao chadema wanatumia wapiga mitandao sie tunatumia wapiga kura..tuko vijijini,katani na tarafani.
Kama wew upo kijijini na hizi habari hazikupiti basi mpo wengi Sana humu kutoka huko kwenu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hihihihiii Lisu atapigwa bonge moja la mtama tar 28 oktoba. Kwani unajua ni idadi gani ya watanzania wako mtandaoni? Unajua ni idadi gani wana acess ya network? Usinipe jibu subiria makofi tar 28 oktoba. Hahahahhaa
 
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
Watumia mitandao wengi si wapigakura wengi wao ni kula kulala na wabeba mabox huko Ulaya na Marekani. Na election poll nyingine hii hapa! Unaisemeaje na hii??

 
Unajua watanzania wangapi wanamiliki smartphones leo hii?Je,wote wanaomiliki smart phone sio wapiga kura?Mimi ninaandika hapa nina kadi ya mpiga kura na tar 28 nitapiga kura!
Kura zinatafutwa popote zilipo,ndio maana wagombea wako wanazunguka kila kona ya nchi kuomba kura!
Kupitia mitandao,wanafikiwa pia wapiga kura!
 
Hizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.

Inaonekana shule hujaenda kabisa, hizo kura za mitandaoni ni samples za population nzima.

Najua uchungu wako ni kwa sababu CCM imeshindwa kwenye hizo kura
Mkuu unajua huyu wakuvuavua ni naibu Wa waziri kwenye hii awamu ya tano.
 
Wanaopiga kura mitadaoni ndo halisi mtz unakosaje kumiliki simu janja

Ccm mnataka kusema sisi tusiompenda magufuli 90% ya watz tulio kwenye social networks nimajini sio?
 
Nilichogundua tu ni kwamba, unamfuatilia /unampenda sana Tundu Lissu kuliko hata mumeo achilia mbali jiwe lenu

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Lissu bwana akiona kwenye mitandaoni ya kijamii wanampa na kumtia moyo anadhani na huku uraiani hali iko hivyo

Kiufupi kachemsha sana,hakuna uchaguzi utakuwa rahisi kwa CCM kama uchaguzi wa mwaka 2020.
Ona hii mbugila nayo! Jiwe anasema uchaguzi huu ni mgumu hivo wana ccm mkapige kura, mfuata upepo na unachenza nje ya beat? Kazi mnayo mwaka huu.

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio upuuzi unaowagharimu chadema wanajifanya wamarekani zaidi wakati hawana lolote
Hahahahahaha dah yani umejibu kinyonge sana na unaonyesha umechoka sana, pole mkuu ndiyo siasa zilivyo kwani kuna kushinda na kushindwa, sasa kama jiwe hakubaliki na wananchi walio wengi siyo kosa lako ni kosa lake lakini wewe umetimiza jukumu lako la kumtetea japo imeshindikana.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…