Uchaguzi 2020 Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Una mawazo ya kijima sana mzee.

Rais wa dunia Donald Trump anaiongoza Marekani kupitia Twitter sasa sijui wewe unaishi shimoni.?

Kwanza huko fb Twitter Instagram ndipo watu walipo siyo maroboti.!
 
Lissu bwana akiona kwenye mitandaoni ya kijamii wanampa na kumtia moyo anadhani na huku uraiani hali iko hivyo

Kiufupi kachemsha sana,hakuna uchaguzi utakuwa rahisi kwa CCM kama uchaguzi wa mwaka 2020.
Mkuu hao waliopiga kura mtandaoni kwani hawaishi duniani/Tanzania? Je wajua kuwa hiyo ni sampo ya population?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu so una maana ccm haina wapiga kura ambao wanatumia mitandao? Hiyo ni sampo tu, kwanini Mataga mnakuwa wagumu kuelewa?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hihihihiii Lisu atapigwa bonge moja la mtama tar 28 oktoba. Kwani unajua ni idadi gani ya watanzania wako mtandaoni? Unajua ni idadi gani wana acess ya network? Usinipe jibu subiria makofi tar 28 oktoba. Hahahahhaa
Amakweli twaweza walikuwa sahihi, so una maana wafuasi wa ccm ni wale wasiyo na access na mitandao wala network au wenye akili kama zako?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Na mara baada ya kuapishwa ataanzisha serikali yake ya majimbo ya Facebook, Twitter na Instagram. Ahahahahahah!
 
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
Kama mlikua mnahisi kura hazitakua huru na haki, kwa nini mmeshiriki kwenye kampeni hizi kuelekea kwenye uchaguzi oct 28?
 
Jibu swali
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
 
Tarehe 28.10.2020 Watanzania wenye vigezo ndio tunaamua nani Rais
Hizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.

Inaonekana shule hujaenda kabisa, hizo kura za mitandaoni ni samples za population nzima.

Najua uchungu wako ni kwa sababu CCM imeshindwa kwenye hizo kura
 
Miaka yote CCM haina wagombea wenye ushawishi Kwa wapiga kura inategemea NGUVU ya vyombo vya DOLA hata sasa magufuli hana ushawishi wowote Kwa wapiga kura zaidi anategemea huruma ya vyombo vya DOLA ,Tundu lissu anapeta kila kona katika uchaguzi Wa mwaka huu 2020 #NIYEYE
 
Wapiga kura wapo field we waache washinde mitandaoni wakija kushtuka CCM wamekamata Dola kwa miaka mitano mingine.
 
Rudi bongo umpigie kura
 
Amsterdam mwenyewe tayari pumzi imekata,halimi tena watu barua labda kaamua kulima bamia.
 
Af wasichokijua wengi humu hawapo bongo
 
Huyo Facebook,tweet etc ccm hawaruhusiwi kupiga kura au hamna bundle?
 
Aisee,ongeza sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…