Tulia wewe kama hazina nguvu wala uhalisia usingepoteza muda wako kutengeneza hii madaNdugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
acha ujingaNdugu zangu,

Sio chama tawala bali chama dola linaongozwa na fisadi mnyamulenge toka Rwanda
Ili iweje Sasa..!Hebu anzisheni na nyie vijana wa ccm tuone itakuaje
ax
acha ujinga
Kwamba hizo online polls ndo za haki na uwazi Kama mbavyotaka iwe kwenye uhalisia?
waache tu mkuu halafu kaa zako kimya,wao si wanadhaniAkili ndogo utawajua, je hao wanaopiga kura mitandaoni ndio waliojiandikisha?
Hata Membe walimdanganya hivi hivi mzee wa watu, ona anachokipata sasa.
Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Jiwe anatamani TV zote zifungwe, mitandao yote ya kijamii ifungwe, simu za smart zote zifungwe, aafu aamrishe wote tuangalie na kusikiliza TBC
Jf slowly inapoteza great thinkers. ..Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Mkuu una akili ya mtoto wa darasa la pili.Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyumbu bn .!
Ondoa hivi vitu nahisi kutapikaHakika viwanda vinachapa kazi.View attachment 1575075
He is right, and the reason behind is that, the opposition members of parliament, are always there to go against with whatever brought by the ruling party to be discussed, they never care if it's of benefits to the citizens or not. Therefore hindering development in both aspects.Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.
#ChangeTanzania
hoja haijengeki kwenye ujingaJenga hoja
Hao watoto wa Facebook hata kadi za kupigia kura hawanaHizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.
Inaonekana shule hujaenda kabisa, hizo kura za mitandaoni ni samples za population nzima.
Najua uchungu wako ni kwa sababu CCM imeshindwa kwenye hizo kura
Mkuu una akili ya mtoto wa darasa la pili.
Zukerberg atamjapisha Tundu Lissu kwa katiba ipi inayomtambua?
Mnatupigia kelele tumelala bana..Tuliza akili