Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Kwani hela inaota kama mchicha boi? Ndo kaanza zamani kuzisaka hadi leo hii kafika hapo we kwa sababu ulikuwa humfuatilii tangu zamani au?
Kwahiyo ww ulikuwa unamfuatilia maisha yake?,watz bado tuna safari ndefu aiseee
 
 
Mwaka 2022 i promise mtaweka picha yangu na mtanidiscus ksma huyo, kumbukeni jina langu naitwa Kanyela mumo.
 
Inaonékana pesa yake ni legit. Jamaa ni gemstones dealer. Kwa jinsi mambo yalivyo awamu hii wasingemwachia kama angekuwa muuza unga.
 
huyu jama nimetembelea profile yake instagram, anaonekana ni kijana aliyejitafutia mali zake kawa jasho lake,, mchakalikaji,,, wala sio muuza unga,,

aiseee yuko mbali sana ametuacha sanaaaa,,,

sio mtu wa kupenda chini,,

alafu alishaoa kitambo tuu,,,

anajielewa,
 
Na picha tu don’t mean shit!

Wengi tu wanaweza kupiga picha na magari.

Kupiga picha na magari haimaanishi ndo unayamiliki.

Heck, hata kuendesha tu gari haimaanishi ndo unalimiliki.
humjui ndo maana unaongea ivo
 
kweli mzee baba, huyu jamaa sio mshamba, ni mjanja flani, sio wale akina marioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…