atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwahiyo ww ulikuwa unamfuatilia maisha yake?,watz bado tuna safari ndefu aiseeeKwani hela inaota kama mchicha boi? Ndo kaanza zamani kuzisaka hadi leo hii kafika hapo we kwa sababu ulikuwa humfuatilii tangu zamani au?