Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

ndiyo mzee baba
 
aya mkuu
 
tumuuombee azidi kuzichanga
 
MBONA RABA ZA KISHAMBA HIVYO MIKUFU KAMA ENLGISH GOLD, HAPANA SUBIRI NIZIANGALIE HIZO NAMBA KAMA KWELI ZIMESAJILIWA AFRIKA KUSINI NA TANZANIA ISIWE NI PHOTOSHOP IMETENGENEZA NAMBA HALAFU INASETIWA MAANA RABA NI ZILE ZA SH 3000 HOW AZIVAE KWANINI
chunguza
 
Atakuwa Kapiga Picha Kwenye Mali Za Watu Maana Watanzania Wakishaenda South Africa Chakwanza Nikuuza Sura Kwenye Mali Za Watu Then Unasema Zako Kama Hamuamini Nisemacho Ngoja Afe Ndo Mtajua Kama Vionekanavyo Hapo Juu Vyake
mkuu wivu huo
 
dah, kweli mkuu
Kuna mshkaji flani nae alikuwa anapiga ishu ya madini ya rubby, jamaa alikuwa ana nyumba kali anamagari makali ila aliendekeza kwa mademu akauza nyumba na magari sasa hivi ukimwona huwezi kuamini
 
Msumbiji hakuna muuza madin wa hivyi kutoka tanzania wauza madin wa musumbiji wote nawajua na ni wasukuma, wanyakusa na mpale mmoja
Acha uongo,mi si miongoni mwa makabila uliyotaja. Karibu Catandica mgodi umefumuka tena.
 
Inavyoonekana ni muuza ngada na mtu wa ndele
 
Buraza wewe umejuaje sio mtu wa milupo,maisha ni kutafuta mpka upate...wauza ruby ya msumbiji wanahela mana thamani ya hilo jiwe ni ghali sana grm 4 au 3 unaweza kupata 250,000$$ au zaidi.
Ila sio jiwe linapatikana mara kwa mara unaweza pata leo ukaja pata tena 2022
 


umemsifia kwa sababu umemuona ni tajiri au 1kush africa
 
Kuna mshkaji flani nae alikuwa anapiga ishu ya madini ya rubby, jamaa alikuwa ana nyumba kali anamagari makali ila aliendekeza kwa mademu akauza nyumba na magari sasa hivi ukimwona huwezi kuamini


Huyo jamaa itakuwa ni mjinga au alilogwa...ila utani pembeni ku-maintain hela nyingi isiishe na kuifanya ijizalishe ni vigumu Jambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…