Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Congrats, raha ya maisha ufanye unachopenda!
 
As long as hana kazi au biashara inayoeleweka huyo na utajiri wake ni bure enzi za JK tuliwasikia wengi je? Wapo sikuhizi Mondi anajulikana kwa kazi zake za mziki ila huyo tajiri wako lazima TRA imjue anafanya biashara gani!!!!
 
Ayaaaahh... Mbona mnapost picha zang bila ridhaa yang na kunidiscuss... Au mnataka TRA waje kunchunguza.. Sijapenda kwaweli
 
Safi sana,Uteseke duniani na kuzimu ugweuzwe kuni ufala gani huo? Hapo kama in chafu anazifua tu anaendelea kama kawa
 
Jamani..eeh huyo marley Dallas ni broker wa madini ya Ruby..montepuez(msumbiji)..hayo magari mnayoyaona karibu yote yana namba za Mozambique..sio yake wanapewa na ma argent wa kuuza hayo magari..mengine ni manjonjo tu..
The truth is here lakini pia yapo ya South Africa si unaona GP!!? Gauteng Province
 
Ngoja na mimi ni mfollow naeza kujua mishe zake na mm nipige pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…