Kabsaa shostii..kila sku wanatoa topics za kutukandia na kutudharilisha umu,yet Leo wanaitwa wanafki wanakasrika. ..iheshmiwe na watu wte including wenye ndoa wenyewe wawe mfano sio kujidharilisha tna wanaona sfaa wanadai bla michepuko sio mwanaume kamili!uku wameapa Ku stick na mke mmoja""till death do us apart ha!..sio unafki huo jaman mpeni a substitute vocabulary Lara awaitejee?tubadilike wanaume esp tujihesshmu tutaheshmiwa tuu vngnevyo heshma hailazmishwi
You're very wrong mdada.
Wachangiao humu JF wengi ni fake hadi jinsia zao...waweza kuona ni comment ya mwanaume kumbe ni mdada and vice versa.
Wachepukaji huwa hawapigi kelele-kuwa mimi nachepuka,la hasha hutenda kama vile wanandoa amabavyo huwa hawapigi tarumbeza kuanika mambo ya ndoa zao...na hata ikitokea wachache sana hukimbilia huku JF.
Si maombi ya ushauri kuhusu mahusiano yaletwayo JF ni kweli, mengi yameongezewa chumvi kiasi cha kuharibu ladha ya tukio halisi.
lara 1 kwa mtazamo wake binafsi yuko sahihi,lakini kiuhalisia ni uongo.
Ushabiki mwingine si wa busara.
EXACTLY!!!!! Leo kidogoo Dr. tumekuwa page 1!
joto hasira tu...!!!
ngoja nkwambie,siku moja mi na wifi yangu(mke wa mdogo wangu )tulikua tumekaa mara akapita jirani(mamaT)akaniambia wii jana mme wangu kanambia alimpeleka (babaT)kule bondeni kwa demu wake.Akaniambia mi nnaambiwa ya mwenzangu na yangu namimk yanasemwa kwa watu ukute hvyooo.
Honestly niliumia ukfkria (babaT)kwake mkewe hamjali hadi anatia huruma ila nyumba ndogo anapeleka mazagazaga.
JE HUU NI UUNGWANA?!!
Naona baada ya kutoa motivation umeona hazifanyi kazi umeresolt to THREATS! Hahaaaa!
Yaani mimi uwa naumia sana kuskia cases kama hiz unaeza kuliaa"wanaume wanaona sfa but effects zake ndo hvi inafka hatua heshma yte ya ndoa wanaivua wao wenyewee and wanawake esp ambao bado hawajaingia kwenye ndoa inafka hatua wanaidharau this institution na kuanza kuipa majna kadha Wa kadha ya kuizalilisha but ndo ukweli. Usitegemee uwe mwiz watu wakuite mwaminifu,never!tusipobadilika tutawakosesha wanetu wake Wa kuoa uko mbele just bcz wanawake wataogopa kabsaa kuolewa au wakaingia na madefense mechanisms kibaooo but majanga wamesababsha baba na babu zao.Turekebike jamani tusichukue kama tusi tumetukanwa iwe a lesson to take back home!
Huyu lazima atakuwa aliolewa then akaachika sio hivi hivi!!!
Aiseeee! patamu hapa ......... Twende ....... Ngoja tuone .........Guys no need kurumbana.kwa anaetaka ndoa ipewe heshma aanze kwanza kuiheahmu ndoa yake.hvi si ndio nyinyi wanaume Wa umu mnaojitapa hapa kila siku wataalam Wa kuchepukaa???..sio nyie mlio support sana ile thread iliyohusu vmada wanapata mgao Mkubwa wa hela zenu kuliko wake zenu halalii??au nilikuwa naota??nashangaa leo mnamvaa Lara kutoziheshmu ndoa zenu na kuwatukania wake zenu eboooo::'heshma bwana haiji Kwa kutoa povu but Kwa vtendo...haya ndo matokeo ya hzo Sera zenu za kuwashusha wake zenu mkasahau ndo wanaotengeneza jina la ndoa zenu..ni Moja tuu ya athari zake kati ya nyingiii''if you want the beautiful end use the beautiful means!!
Ninacho maanisha ni kuwa hamna alie umbwa perfect but tutakuwa tunakosea tukisema tumeumbwa wanafki. Unafki ni dhambi.
Aisee sijui kama umesoma mada inataka nini... Yote yako nje kabisaHawa failures wa ndoa ndio wamekuwa wasemaji wa ndoa zetu.Andika thread page bilion na bilion bado hutaweza badirisha ukweli kwamba ndoa ni msingi wa taifa lolote!!Endelea(ni) kujipa faraja...na slogan za "mwanamke bila ndoa inawezekana".
Ni kweli kabisa mumy,tena ifike mahali humu ndani sisi kwa sisi tupeane za uso inapotokea mada zipotoshazo kuhusu ndoa,kuna mada nyingi sana za Lara 1 akipondea wanawake wa ndoani,na mara nyngi wanaume wamekuwa wachangiaji wazur sana lakin leo walipoitwa wanafiki wamekuwa mbogo,anyway lakini hiyo haifanyi taasisi hii kuwa ya Unafiki. Changes begins with me and you,Ndoa na iheshimiwe na watu wote hasa walioko ndoan wenyewe.Yaani tujiheshmu kwnza tusilaumu tuu tujiulize chanzo ni sisi wenyewe mpaka Hawa ambao hawajaingia wanaona haina hadhi kuitwa takatifu
Rafiki umeongea vyema yaani naona hajajitambua akijitambua atajua namna alivyoleta uzi hapa si vyema
yaani hata mm mwalimu wa wanawake/ mfundaji bora/mtoa somo amenishangaza mno sijui niseme nini hapa
Skiliza ww iara mwanamke hata awe upstairs vzr awe na Mali VP bila mume ni buree..I think u have inferiority complex usione ndoa zote Chungu depend on your choise madame!muokotane clubs sijui one month unatangaza ndoa expect bomshelz!!ww tulia kuna chembechembe za Wenge around 29 th hujapata hata dalili ya ndoa basiii stresses mpakaa n kuona ndoa zote ovyoo!!sijui ohhh waume za watu sijui nn !hakuna mwanamke asiependa wala wish wearing white dress wewe iyo ni wengeeeeeeee...
huo ndo ukweli wanawake wengi tunafunika kombe mwanaharamu apite
%chache wanaowapelekesha waume zao hawapendwi na ndg wa kiumeni na wanaitwa wachawi wameroga kaka zao
Naongea hv nipo ndoani na ninaziona za watu pia
Mkuu nioneshe sehemu ulipo mjibu mtoa mada! hivi kwanini mnapenda watu wafikiri kutoolewa ni kama laana?Skiliza ww iara mwanamke hata awe upstairs vzr awe na Mali VP bila mume ni buree..I think u have inferiority complex usione ndoa zote Chungu depend on your choise madame!muokotane clubs sijui one month unatangaza ndoa expect bomshelz!!ww tulia kuna chembechembe za Wenge around 29 th hujapata hata dalili ya ndoa basiii stresses mpakaa n kuona ndoa zote ovyoo!!sijui ohhh waume za watu sijui nn !hakuna mwanamke asiependa wala wish wearing white dress wewe iyo ni wengeeeeeeee...
nadhani mjadala utaisha kwa hilo jibu hapo chiniBtw, what would you recommend: marriage or not marriage?
MAISHA YAKO CHAGUO NI LAKO!
Kutumia BIBLIA TAKATIFU kwenye maandiko ya yako ya KISHETANI Ukome.Ni bora ungetamani kuwa MTAWA,siyo KUGONGWA Kama MBWA