Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Ndoa ni mlango wa kuingia kwenye familia. familia ni kama seli katika mfumo wa maisha ya wanadamu. ulimwengu ungekuwaa wa ajabu bila kuwepo kwa familia. ndoa iwe halali au batili au vyovyote ni ya lazima. ina shida na raha, uadilifu na uovu, uhuru na utumwa n.k. lakini ndoa ni inevitable, hhypocracy in marriage is also inevitable!
 
Kabsaa shostii..kila sku wanatoa topics za kutukandia na kutudharilisha umu,yet Leo wanaitwa wanafki wanakasrika. ..iheshmiwe na watu wte including wenye ndoa wenyewe wawe mfano sio kujidharilisha tna wanaona sfaa wanadai bla michepuko sio mwanaume kamili!uku wameapa Ku stick na mke mmoja""till death do us apart ha!..sio unafki huo jaman mpeni a substitute vocabulary Lara awaitejee?tubadilike wanaume esp tujihesshmu tutaheshmiwa tuu vngnevyo heshma hailazmishwi

joto hasira tu...!!!
ngoja nkwambie,siku moja mi na wifi yangu(mke wa mdogo wangu )tulikua tumekaa mara akapita jirani(mamaT)akaniambia wii jana mme wangu kanambia alimpeleka (babaT)kule bondeni kwa demu wake.Akaniambia mi nnaambiwa ya mwenzangu na yangu namimk yanasemwa kwa watu ukute hvyooo.
Honestly niliumia ukfkria (babaT)kwake mkewe hamjali hadi anatia huruma ila nyumba ndogo anapeleka mazagazaga.
JE HUU NI UUNGWANA?!!
 
You're very wrong mdada.

Wachangiao humu JF wengi ni fake hadi jinsia zao...waweza kuona ni comment ya mwanaume kumbe ni mdada and vice versa.

Wachepukaji huwa hawapigi kelele-kuwa mimi nachepuka,la hasha hutenda kama vile wanandoa amabavyo huwa hawapigi tarumbeza kuanika mambo ya ndoa zao...na hata ikitokea wachache sana hukimbilia huku JF.

Si maombi ya ushauri kuhusu mahusiano yaletwayo JF ni kweli, mengi yameongezewa chumvi kiasi cha kuharibu ladha ya tukio halisi.
lara 1 kwa mtazamo wake binafsi yuko sahihi,lakini kiuhalisia ni uongo.

Ushabiki mwingine si wa busara.

Well sipo kushabikia just said mind. ila I hope uliyosema yangekuwa hvyo bsi mna uhakika gani huyu Lara ni ke?..and kuwa ana maanisha?point inabaki kuwa tuna jadili linaloongelewa na tunayoyaona uku mtaani ni kweli yanatendka.kinachonishangaza ni kuwa Hawa wote wanaoshadadia ndoa iheshimiwe hapa uwa siwaoni kwenye threads za vitanzi tunavyofungwaga ma Mrs kuwa me lazma achepuke tupende tusipendee"",kaz zetu kufua na kulea raha Kwa vimada etc etc yaan uwa tunamvaa Lara sisi tuu vnatuuma kwelikwelii me wengiii wanashadadiaa"Leo kuwaita wanafkii kipi kiwakasirichashoo?
 
Last edited by a moderator:
EXACTLY!!!!! Leo kidogoo Dr. tumekuwa page 1!

Hapana tumetofautiana kwenye uwasilishaji wetu........... ichunguze lugha yako na namna ulivyoiwasilisha.

otherwise tukubali kwenye maisha kuna changamoto mbalimbali na tuheshimu machaguzi ya wengine bila kuathiri misimamo yao.......

Marriage is like a groundnut; you have to crack it to see what is inside. ~ Ghanaian proverb
 
joto hasira tu...!!!
ngoja nkwambie,siku moja mi na wifi yangu(mke wa mdogo wangu )tulikua tumekaa mara akapita jirani(mamaT)akaniambia wii jana mme wangu kanambia alimpeleka (babaT)kule bondeni kwa demu wake.Akaniambia mi nnaambiwa ya mwenzangu na yangu namimk yanasemwa kwa watu ukute hvyooo.
Honestly niliumia ukfkria (babaT)kwake mkewe hamjali hadi anatia huruma ila nyumba ndogo anapeleka mazagazaga.
JE HUU NI UUNGWANA?!!

Yaani mimi uwa naumia sana kuskia cases kama hiz unaeza kuliaa"wanaume wanaona sfa but effects zake ndo hvi inafka hatua heshma yte ya ndoa wanaivua wao wenyewee and wanawake esp ambao bado hawajaingia kwenye ndoa inafka hatua wanaidharau this institution na kuanza kuipa majna kadha Wa kadha ya kuizalilisha but ndo ukweli. Usitegemee uwe mwiz watu wakuite mwaminifu,never!tusipobadilika tutawakosesha wanetu wake Wa kuoa uko mbele just bcz wanawake wataogopa kabsaa kuolewa au wakaingia na madefense mechanisms kibaooo but majanga wamesababsha baba na babu zao.Turekebike jamani tusichukue kama tusi tumetukanwa iwe a lesson to take back home!
 
Naona baada ya kutoa motivation umeona hazifanyi kazi umeresolt to THREATS! Hahaaaa!

haina haja ya kuendeleza ubishi... Hcho ni kilio cha mkosaji ili tufike mwisho wa safar salama kila mtu aamini anachokiamin na akitendee kazi
 
Yaani mimi uwa naumia sana kuskia cases kama hiz unaeza kuliaa"wanaume wanaona sfa but effects zake ndo hvi inafka hatua heshma yte ya ndoa wanaivua wao wenyewee and wanawake esp ambao bado hawajaingia kwenye ndoa inafka hatua wanaidharau this institution na kuanza kuipa majna kadha Wa kadha ya kuizalilisha but ndo ukweli. Usitegemee uwe mwiz watu wakuite mwaminifu,never!tusipobadilika tutawakosesha wanetu wake Wa kuoa uko mbele just bcz wanawake wataogopa kabsaa kuolewa au wakaingia na madefense mechanisms kibaooo but majanga wamesababsha baba na babu zao.Turekebike jamani tusichukue kama tusi tumetukanwa iwe a lesson to take back home!

yap its true turudi kwenye familia zetu na tujirekebishe ndoa zina raha na karaha pia ila sisi km sisi tujiheshimu hakuna jipya chini ya jua
tuthaminiane,tupendane na kuheshimiana.
ili watu km LARA wasipate guts za kutuattack
 
Huyu lazima atakuwa aliolewa then akaachika sio hivi hivi!!!

Hawa failures wa ndoa ndio wamekuwa wasemaji wa ndoa zetu.Andika thread page bilion na bilion bado hutaweza badirisha ukweli kwamba ndoa ni msingi wa taifa lolote!!Endelea(ni) kujipa faraja...na slogan za "mwanamke bila ndoa inawezekana".
 
Guys no need kurumbana.kwa anaetaka ndoa ipewe heshma aanze kwanza kuiheahmu ndoa yake.hvi si ndio nyinyi wanaume Wa umu mnaojitapa hapa kila siku wataalam Wa kuchepukaa???..sio nyie mlio support sana ile thread iliyohusu vmada wanapata mgao Mkubwa wa hela zenu kuliko wake zenu halalii??au nilikuwa naota??nashangaa leo mnamvaa Lara kutoziheshmu ndoa zenu na kuwatukania wake zenu eboooo::'heshma bwana haiji Kwa kutoa povu but Kwa vtendo...haya ndo matokeo ya hzo Sera zenu za kuwashusha wake zenu mkasahau ndo wanaotengeneza jina la ndoa zenu..ni Moja tuu ya athari zake kati ya nyingiii''if you want the beautiful end use the beautiful means!!
Aiseeee! patamu hapa ......... Twende ....... Ngoja tuone .........
 
Ninacho maanisha ni kuwa hamna alie umbwa perfect but tutakuwa tunakosea tukisema tumeumbwa wanafki. Unafki ni dhambi.

Mapungufu ndio hayo hupelekea kufanya dhambi.. including unafiki, uongo etc
 
Skiliza ww iara mwanamke hata awe upstairs vzr awe na Mali VP bila mume ni buree..I think u have inferiority complex usione ndoa zote Chungu depend on your choise madame!muokotane clubs sijui one month unatangaza ndoa expect bomshelz!!ww tulia kuna chembechembe za Wenge around 29 th hujapata hata dalili ya ndoa basiii stresses mpakaa n kuona ndoa zote ovyoo!!sijui ohhh waume za watu sijui nn !hakuna mwanamke asiependa wala wish wearing white dress wewe iyo ni wengeeeeeeee...
 
Hawa failures wa ndoa ndio wamekuwa wasemaji wa ndoa zetu.Andika thread page bilion na bilion bado hutaweza badirisha ukweli kwamba ndoa ni msingi wa taifa lolote!!Endelea(ni) kujipa faraja...na slogan za "mwanamke bila ndoa inawezekana".
Aisee sijui kama umesoma mada inataka nini... Yote yako nje kabisa
 
Yaani tujiheshmu kwnza tusilaumu tuu tujiulize chanzo ni sisi wenyewe mpaka Hawa ambao hawajaingia wanaona haina hadhi kuitwa takatifu
Ni kweli kabisa mumy,tena ifike mahali humu ndani sisi kwa sisi tupeane za uso inapotokea mada zipotoshazo kuhusu ndoa,kuna mada nyingi sana za Lara 1 akipondea wanawake wa ndoani,na mara nyngi wanaume wamekuwa wachangiaji wazur sana lakin leo walipoitwa wanafiki wamekuwa mbogo,anyway lakini hiyo haifanyi taasisi hii kuwa ya Unafiki. Changes begins with me and you,Ndoa na iheshimiwe na watu wote hasa walioko ndoan wenyewe.
 
Skiliza ww iara mwanamke hata awe upstairs vzr awe na Mali VP bila mume ni buree..I think u have inferiority complex usione ndoa zote Chungu depend on your choise madame!muokotane clubs sijui one month unatangaza ndoa expect bomshelz!!ww tulia kuna chembechembe za Wenge around 29 th hujapata hata dalili ya ndoa basiii stresses mpakaa n kuona ndoa zote ovyoo!!sijui ohhh waume za watu sijui nn !hakuna mwanamke asiependa wala wish wearing white dress wewe iyo ni wengeeeeeeee...

i like you so smart*****like****
 
huo ndo ukweli wanawake wengi tunafunika kombe mwanaharamu apite
%chache wanaowapelekesha waume zao hawapendwi na ndg wa kiumeni na wanaitwa wachawi wameroga kaka zao
Naongea hv nipo ndoani na ninaziona za watu pia

Dada geniveros,natumaini utakubaliana nami kwamba hata urafiki wa
boyfrend na girlfriend una machungu yake,au sio? Hata maofisin kuna conflicts!!na ndio maan kuna conflict management traing at work place au sio?
 
Skiliza ww iara mwanamke hata awe upstairs vzr awe na Mali VP bila mume ni buree..I think u have inferiority complex usione ndoa zote Chungu depend on your choise madame!muokotane clubs sijui one month unatangaza ndoa expect bomshelz!!ww tulia kuna chembechembe za Wenge around 29 th hujapata hata dalili ya ndoa basiii stresses mpakaa n kuona ndoa zote ovyoo!!sijui ohhh waume za watu sijui nn !hakuna mwanamke asiependa wala wish wearing white dress wewe iyo ni wengeeeeeeee...
Mkuu nioneshe sehemu ulipo mjibu mtoa mada! hivi kwanini mnapenda watu wafikiri kutoolewa ni kama laana?
 
Hivi kwani tatizo ni nini hasa?? Maana naona maneno mengi sana...nini na nini full kukandia ndoa...etc etc...mimi naamini mtu anabadilika kutokana na mazingira hichi anacho amini mleta mada ni zao la vitu alivyofifanya au kuviona kua haviendi ndo vilivyopelekea kua na msimamo au imani hii anayo isema sema hapa...!!
 
Back
Top Bottom