mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ndoa ni mlango wa kuingia kwenye familia. familia ni kama seli katika mfumo wa maisha ya wanadamu. ulimwengu ungekuwaa wa ajabu bila kuwepo kwa familia. ndoa iwe halali au batili au vyovyote ni ya lazima. ina shida na raha, uadilifu na uovu, uhuru na utumwa n.k. lakini ndoa ni inevitable, hhypocracy in marriage is also inevitable!