Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

dunia si mbaya
walimwengu ndo wabaya
na ndoa si mbaya
waoanaji ndo wabaya

UNAFIKI SI MBAYA WANAFKI NDO WABAYA!,!! Msiache kupitia hapo nondo za Tyta, cc everlink cc everienk unaitwa huku umukoe Evz
 
Last edited by a moderator:
Pro-mariage wote mnaosema kwenye ndoa hakuna unafiki njooni muone Tyta anavyowaumbua...

Mnafiki mmoja aluyeumbuliwa ni huyo Evz
 
Last edited by a moderator:
Unaitwa huku na Tyta hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
[h=3]Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....
Started by everlenk, 18th May 2014 08:27
[/h] my take:NDOA NA IHESHIMIWE NAWATU WOTE....
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww lara 1 ndoa ni mzigo hasa kwa kizazi hiki ambacho wanawake wanawaza kuvuliwa chupi tu. Nilishasema siji kuoa maisha ila ntawazalisha mpaka akili ziwakae.

Unaowazalisha wanafunzi wa secondary??
Maana usijidanganye unawazalisha kumbe nao wanataka mbegu tu sio wewe
 
Last edited by a moderator:


Hee!!!!!!
Haya sasa
 
Last edited by a moderator:
Mi sielewi watu wanaponda IMTU...
ooh..bomu
Utapeli, chini ya kiwango...
Maskini weee
Kumbe IMTU CHUO BORA KABISA tatizo ni wahusika.
Tusikiseme chuo tuwaseme wahusika.... si eti eeh???



Mwenye kuelewa kaelewa
 

Mimi ni mchokonoa mada tu...
My TAKE:NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE....
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa Tyta umenichekesha aisee hasa hiyo thread ya evz mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…