Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Pro-mariage wote mnaosema kwenye ndoa hakuna unafiki njooni muone Tyta anavyowaumbua...

Mnafiki mmoja aluyeumbuliwa ni huyo Evz
 
Last edited by a moderator:
Pole sana,mimi naomba tufike muafaka mzuri,kadi zote ziko mezani mpaka za chumbani tumezitoa,tupe tu ushindi hata wa mezani juu ya hili kwamba ndoa kama ndoa si taasisi ya unafiki,kama vile tulivyokupa ushindi juu ya swala la umri,mengine yote yabaki constant maana naona Uzi mwingine tena ushafunguliwa.

Usinipotezee tafadhal naona bandiko langu la nyuma umenipotezea,sema neno lako moja tu na roho zetu ziwe kwatu!!! Ndoa si taasisi ya unafiki as dunia siyo mbaya walimwengu ndo wabaya. Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Unaitwa huku na Tyta hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
[h=3]Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....
Started by everlenk, 18th May 2014 08:27
[/h] my take:NDOA NA IHESHIMIWE NAWATU WOTE....
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww lara 1 ndoa ni mzigo hasa kwa kizazi hiki ambacho wanawake wanawaza kuvuliwa chupi tu. Nilishasema siji kuoa maisha ila ntawazalisha mpaka akili ziwakae.

Unaowazalisha wanafunzi wa secondary??
Maana usijidanganye unawazalisha kumbe nao wanataka mbegu tu sio wewe
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Hee!!!!!!
Haya sasa
 
Last edited by a moderator:
Mi sielewi watu wanaponda IMTU...
ooh..bomu
Utapeli, chini ya kiwango...
Maskini weee
Kumbe IMTU CHUO BORA KABISA tatizo ni wahusika.
Tusikiseme chuo tuwaseme wahusika.... si eti eeh???

Mwenye kuelewa kaelewa
 
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Mimi ni mchokonoa mada tu...
My TAKE:NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE....
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa Tyta umenichekesha aisee hasa hiyo thread ya evz mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom