ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
hooooo!! sikuona oky bye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu
Started by Evz, 11th June 2014 16:32
cc: lara 1
My take:ndoa na iheshimiwe na watu wote.
hahahah...lara 1 njoo umuone huyu anayekuona we taahira.....
nataka nimsaliti lakini naogopa
Started by Evz, 17th May 2014 15:57.
Mme wangu anatembea na rafiki yangu
Started by Evz, 15th May 2014 14:18
[h=3]Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu
Started by Evz, 11th June 2014 16:32[/h]
cc: lara 1
My take:ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Unaitwa huku na Tyta hapo juu!Pole sana,mimi naomba tufike muafaka mzuri,kadi zote ziko mezani mpaka za chumbani tumezitoa,tupe tu ushindi hata wa mezani juu ya hili kwamba ndoa kama ndoa si taasisi ya unafiki,kama vile tulivyokupa ushindi juu ya swala la umri,mengine yote yabaki constant maana naona Uzi mwingine tena ushafunguliwa.
Usinipotezee tafadhal naona bandiko langu la nyuma umenipotezea,sema neno lako moja tu na roho zetu ziwe kwatu!!! Ndoa si taasisi ya unafiki as dunia siyo mbaya walimwengu ndo wabaya. Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Unaitwa huku na Tyta hapo juu!
[/h] my take:NDOA NA IHESHIMIWE NAWATU WOTE....
Tunaweza tekeleza hayo kwa kufanya yafuatayo: 1)kupenda waume zetu kwa pendo lisilo na unafiki.........
Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....
Started by everlenk, 18th May 2014 08:27
my take:NDOA NA IHESHIMIWE NAWATU WOTE....
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.[h=3]Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....
Started by everlenk, 18th May 2014 08:27
[/h] my take:NDOA NA IHESHIMIWE NAWATU WOTE....
Nakubaliana na ww lara 1 ndoa ni mzigo hasa kwa kizazi hiki ambacho wanawake wanawaza kuvuliwa chupi tu. Nilishasema siji kuoa maisha ila ntawazalisha mpaka akili ziwakae.
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
we ndio chanzo cha thread zoote hizi ujue....
huyo Christina mwambie asimsahau HOE
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
HAHAHAHAAAAAA! Hili ni kubwa kuliko baby! Daaaaaah!
[h=3]Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....
Started by everlenk, 18th May 2014 08:27
[/h] my take:NDOA NA IHESHIMIWE NAWATU WOTE....