Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

Kwa hiyo kua tajiri ndio hawezi kudhulumu? utajiri wake unajua kaupataje?
Alikua house girl so what? house girl ni kazi kama zingine na kupitia kipaji chake ndio maana akanyanyuka, kanisa alilihama ndio nini sasa, blah blah blah.

Haifuti the fact kua alikua anatumiwa na kuharibiwa maisha yake.
 

Hujawahi kupitia hizi changamotono waulize hayo maswali wanawake wasomi wa vyuo wanavyodaiwa ngono kwa ajili ya masomo ndio utaelewa vizuri hizi changamoto
 
hili la Kunyoshewa bastola niliwahi kusikia miaka 2.5 iliyopita japo mtoa habari Bahati Buku.. alielezea kuwa Msama ndiye aliyemtishia
 

Ulikuwa ukimfahamu Rose Mhando?

Unaweza kumdhurumu Rose Mhando?

Rose Mhando hakuwa wa kuonewa kuonewa. Ni Mwanamke shupavu yule.
 
Ulikuwa ukimfahamu Rose Mhando?

Unaweza kumdhurumu Rose Mhando?

Rose Mhando hakuwa wa kuonewa kuonewa. Ni Mwanamke shupavu yule.
Yes namfahamu Rose,

Sijawahi kumdhulumu katika maisha yangu,

Ushupavu wake haujafua dafu mbele ya huyo mnyonyaji Nathan ndio maana akamuingiza kwenye madawa ili amnyonye vizuri.
 
Hearsay
 
Yes namfahamu Rose,

Sijawahi kumdhulumu katika maisha yangu,

Ushupavu wake haujafua dafu mbele ya huyo mnyonyaji Nathan ndio maana akamuingiza kwenye madawa ili amnyonye vizuri.

Hiyo ni jinai una ushahidi kwamba huyo jamaa alimpa huyo mwanamke madawa ya kulevya (majina nimeficha kimaadili tu).
 
Yeye huyo Rose alikuwa msukule kwamba kila anacho fanyishwa na Nathan ni Tawire baba ?
 
Na Ndiyo muwe mashahidi na 2 na 3
Ni lazima mashahidi wawe zaidi ya mmoja? maana muhusika ndio kishasema mimi ni nani hadi nikatae unless useme Rose sio teja wala hajawahi kuvuta madawa.
 
Mjinga anamteta mjinga mwenzake kwa Ujinga alofanya kwa kumtupia lawama zote Meneja mjinga....

Wote wajinga kabisa.....!!!
 
Duh! kweli inasikitisha sna pale ukiona aliyewakomboa baadhi ya watu kumrudia Muumba kwa njia za nyimbo za kumsifu Mungu.....anapojikwaaa na yeye kumrudia shetani. Kikubwa ni kumwombea na wala siyo kumhukumu kwa sasa kwani wote tunaweza kujikuta katika madhaifu haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…