😂😂😂😂😂😂jiwe alikua anatembea kwenye maono yangu mimi niligoma chanjo ya mabusha nikiwa high school miaka hiyo, kabla ya jiwe kua presidenti na sina busha hadi leo lakini jpm aliokoa wengi kwanza alitutoa woga na makorona watu wachache walipotea tz na wengi sababu ya magonjwa mengine hasa ugonjwa mkubwa ulikua ni woga sio kingine.
So mkuu unakiri kuwa Jiwe alikuwa kidume wako na nusu pia alikuwa na mkubwa kuliko wewe?jiwe alikua kidume na nusu, wewe kwanini nijifananishe naye mimi ni mimi niko nyuma ya keyboard yeye aliwanyosha vibaraka wa magasho mchana kweupe mafisadi walisota rumande, ila jiwe aliwafundisha wapinzani kupambana sio kulia lia kutafuta huruma ya wananchi bila kupambania wanachotaka.
Mm ni mfuasi wa Jiwe na hauwezi kulibadili hilo Viongozi wenu hao wapuuzi waliitlekeza DODOMA ambayo ndio makao makuu ya nchi mwamba akaweza sshv kaenda Dodoma mmetuteleza tenaWapi nimelalamika kuwa nilitekwa? Dah aisee kuna wazazi wana hasara. Nilikuwa najiuliza wafuasi wa Jiwe wanatoka wapi, kumbe ni watu kama wewe
Yaani kwa uovu ule aliotenda unataka aachwe kusemwa? Nduli Amin mpaka leo anasemwa na ndiyo itakavyokuwa kwa Jiwe
Huyu Mkurya jinga kabisa mlamba makalio ya Mbowe!Nashangaa san hata viongozi wa dini wameingia katika mkumbo wa kusifia watawala aina ya Magufuli.
Siku hizi ni bora kusali nyumbani kwako au chini ya mti.
Mm ni mfuasi wa Jiwe na hauwezi kulibadili hilo Viongozi wenu hao wapuuzi waliitlekeza DODOMA ambayo ndio makao makuu ya nchi mwamba akaweza sshv kaenda Dodoma mmetuteleza tena
Siku nikiwa rais wa nchi hii nitamfuta kwenye kumbukumbu za serikali asitambulike tena kama mtu aliyewahi kuhudumu kama rais wa nchi hiiya
Kwa kweli Mungu asingeweza kumuacha hai huyu shetani wa Chato kwa namna ya UHAYAWANI alioufanya dhidi ya wananchi. na ndiyo maana alianza kuharibika kiakili taratibu baada ya kuiba uchaguzi wa Oktoba 2020, akawa mtu wa kuropoka na kutukana tu. Asante Mungu kwa matendo yako makuu ya tarehe 17/ 03/ 2021. Tumekuwa huru tenaJPM alikuwa daktari bingwa wa propaganda. Aliweza kuwaaminisha watu uchumi wetu ni imara na ukuaji wake ni wa kadi kubwa, watu waliamini ingawa bado walikuwa maskini wa kutupwa, hawana huduma za kijamii katika maeneo yao, hawana miradi ya maendeleo na kipato chao ni duni.
JPM aliweza kuwaaminisha watu ndiye mtetezi wao, mtetezi wa wanyonge. Akawapa jina hilo, umaskini ukatiwa nakshi-nakshi. Watu wakaamini, na kumuita Rais wa wanyonge, na kila alipokwenda hakusita kueleza kwa sauti kwamba haoni mwingine wa kumaliza kazi yake isipokuwa yeye.
Watu hawakujali, hata kuhamisha Serikali Dodoma bila bunge kuketi na kupitisha fedha hizo, ununuzi wa ndege bila bunge kurudhia, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato bila bunge kuketi na kuridhia matumizi ya fedha za umma. Watu waliaminishwa kwamba Magufuli hakosei, wanyonge waliamini
Chanzo; Mtandao wa X
Wayahudi wanatuhusu nini sisi?Hii kwa wayahudi ni Kufuru.....na Ghadhabu yale ni kali mno