😂😂😂😂😂😂jiwe alikua anatembea kwenye maono yangu mimi niligoma chanjo ya mabusha nikiwa high school miaka hiyo, kabla ya jiwe kua presidenti na sina busha hadi leo lakini jpm aliokoa wengi kwanza alitutoa woga na makorona watu wachache walipotea tz na wengi sababu ya magonjwa mengine hasa ugonjwa mkubwa ulikua ni woga sio kingine.
So wewe uoga alikutoa Jiwe?
Kweli kuna watu wako hai lakini wanaishi kama misukule. Wewe utakuwa ndiyo wale mnajiita wanyonge au siyo