Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

Yes tunaujuaji mwingi sometimes, Lakini kwa namna suala la Covid 19 alivyolisimamia JPM,angeamua vinginevyo hali ungekuwa mbaya sana hasa mji kama DSM ambapo asilimia kubwa Baba akitoka, familia nyumbani ndiyo wanapata chakula.Tuwe wakweli kuna mazuri mengi na mapungufu hayawezi kuepukika,leo Bureau de change zipo kila kona,ila ukienda hata dollar mia hupati,ukiuza wananunua,ila wao wanaenda kuuza Black market,leo Kkoo bila 2850 hupati.Jpm alipozifunga, dollars hadi elf 20 Bank walikuwa wanatoa......... Yes kwenye kuziondoa inawezekana haukuwa utaratibu mzuri ila uwepo wake ni kaa la moto,kila siku zinaota kama uyoga,ila wanaficha kwaajili ya black market............. JPM alifanya mazuri pia,tusiwe negative tu kila Uzi.
Hakuna jema alifanya kwa faida ya nchi. Yeye ndiye mwanzo wa zao la watu kama Bashite na Saambaya
 
Kama MMM hajakana haya
1. Kumpa ujauzito binamu yake
2. Kuingiziwa hela ya Uchawa kwenye akaunti
Basi hana Moral authority kukemea chochote ni wale wale wanaotumia fursa za kujifanya wanaharakati kumbe wanatafuta chakula tu.
Ni sawa na yule ambaye alikuwa na kesi Zenji
Kuna yule alizaa na mdogo wa mke wake sema Mungu alishamuondoa kwa maslahi ya Taifa letu
 
nakumbuka shule kuna watu walikua wanajua anandika essay kurasa mbili tu halafu anakimbiza kwenye matokeo huyu mjomba ameandika uzi mrefu najua ndani kutakua na pumba tu, na mahaba huu lazima uzi wa mapenzi, au chuki, mliosoma mnikosoe? jpm alikua jembe wewe haijalishi alimuumiza nani.
Mkuu unaweza tofautisha vp akili zako na za Jiwe? Je wewe ni bora kuliko yeye au yeye ni bora kuliko wewe ama la hasha akili zenu ni sawa?
 
Magufuri alishaondoka huyu mama kwenye uchaguzi hatofanya tofauti na Mtangulizi wake badala ya kushughulika naye kabla ya uchaguzi mnaangaika na marehemu
Dikteta lazima asemwe milele na milele ili isijetokea makosa kama hayo tena
 
Sasa kama umesoma huu uzi ukawa hujaelewa chochote na vitu vilitokea kweli
Wewe sijui utakua dishi la wapi
 
Enzi hizo sukari ulikua unanunua shilingi ngapi kwa kilo??
Sukari ilifika mpaka elfu 5 kwa kilo kama wakumbuka baada ya akili yake kumtuma kupambana na Wafanyabiashara. Hope unakumbuka au labda umejizima data. Tafuta pesa acha kujisifia unyonge mkuu, ukiwa na pesa hata sukari ifike elfu 10 kwa kilo wala hautosumbuka, kuwa mnyonge sasa hata ikiwa 100 kwa kilo lazima upige kelele.
 
Ila wajinga ni wengi sana nchi hii. Pole sana mnyonge
Asante sana muuliwaji , Ujinga wa nchi hii upo kwa watu kama ww yan hlo halipingwi, watu mnawaza mitumbo yenu tu wapuuz wakubwa mnajficha kwenye kivuli cha democracy 😁
 
Mkuu unaweza tofautisha vp akili zako na za Jiwe? Je wewe ni bora kuliko yeye au yeye ni bora kuliko wewe ama la hasha akili zenu ni sawa?
jiwe alijenga masoko nchi nzima jiwe alijenga hospitali za mikoa nchi nzima jiwe alifukuza watu waliochongesha vyeti jiwe amejenga sgr jiwe kajenga bwawa la umeme la kihistoria, jiwe kajenga stendi nzuri za mabasi nchi nzima mimi kama mtanzania mawazo yangu binafsi jiwe angekuepo ningemruhusu ajilimbikizie mali anazotaka kama gadafi, wakati wa jiwe nilienda hospitali nilihudumiwa kama niko uk, jiwe amelala nimeenda tena hospitali nimehudumiwa kama niko somalia, jiwe ni jiwe. jiwe namfananisha na putin mwanaume lazima uwe na misimamo.
 
Acha uongo
 
Sukari ilifika mpaka elfu 5 kwa kilo kama wakumbuka baada ya akili yake kumtuma kupambana na Wafanyabiashara. Hope unakumbuka au labda umejizima data. Tafuta pesa acha kujisifia unyonge mkuu, ukiwa na pesa hata sukari ifike elfu 10 kwa kilo wala hautosumbuka, kuwa mnyonge sasa hata ikiwa 100 kwa kilo lazima upige kelele.
Demokrasia na maridhiano vimefanya sukari iwe shilingi ngapi? Namudu maisha yangu sijisifii unyonge ila ninafahamu kuna wanyonge wana haki pia ya kupata nafuu ya maisha, kuwa daraja la kati kimaisha kusikufanye usahau walio chini yako
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Tokea kafa Hadi Leo Bado mnaweweseka

Chadema ongozen Kwa mfano hiv mbowe Lin ataachia nafasi hiyo ya mwenyekiti au ni kioo wa milele
 
Acha uongo
nimesahau jiwe aliwanyosha chadema, na chadema wanavofanya siasa za kutafuta huruma za watz, kipigo mahakamani kipigo serikalini kipigo mtaani, chadema hawana plan b wao wanavutwa masikio wanalia kama watoto hawanaga plan b, ndio maana nimeachana nao depression tu, kwanza demokrasia ni ushetani kamili ilikoanzia huko wanayofanya ni ubatili mtupu, namtaka makonda aje kua raisi wa nchi hii awanyoshe tena chadema muendelee kulia lia.
 
Baada ya hayo yote umaskini wako Umeisha?

Umaskini na Roho mbaya ni pete na kidole
 
Back
Top Bottom