Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Nassari huyo huyo leo akihama na kurudi tena Chadema haya unayoyaongea utayabadilisha. Chadema hamueleweki siku zote. Mlimsema Lowassa fisadi, lakini fisadi huyo huyo mkaona anastahili kuwa mgombea wenu😀😀. Muwe na akiba ya maneno
 
Tayari nyumbu zimemgeuka mama,

Tulitahadharisha mapema humu,

Hii Chadema ni zaidi ya chama, hua nawasikitikia sana watu wa maeneo flani wanaofikili hiki chama kipo kwa ajili yao

Hii mijitu ukitizama maandiko yao tu utagundua ni mijitu ya aina gani,

Na nawahakikishieni wabongo, hiki chama kikishika nchi, hadi mfagia ikulu atakua mchaga.
Hata Wewe maandishi yako tu, yanakutambulisha kwamba we ni mfiwa!
 
Huyu ni JK type, huu ndio muda upinzzani kushikana mikono maana CCM watavurugana siku sio nyingi kwa style hii ya huyu mama.

Nilianza kumuamini lakini nimegundua mswahili siku zote ni shida tupu. Ataanza kupaka henna na vijora wenzie wanatafuna nchi.
 
Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.

Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.

Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.

Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.

Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo
Wapinzani wawe na moyo wa kusamehe,kuhama chama sio usaliti ndo uhuru na demokrasia wanayopigania,,Nasari yuko huru kuhama na kujiunga na chama chochote,,chadema kuweni na reasoning basi,,nyie mkikamata nchi si mtatusokomeza kunako salfeti sie mataga?,yaani mmekaa kushari shari tu,kelele hizi ni hasira ya akina nasari sumayi,juakali etc kupewa uongozi,,acheni roho za choroko nduguzani wanachadema,,mue na moyo wa kusamehe,siasa sio uadui,
Inakaa kama mkishika dola mtatuua sana nyie😂😂
 
Mansa Musa, Mfalme tajiri sana wa Mali, alivyokuwa katika safari yake kwenda kuhiji Mecca, mwaka 1324 alifika Cairo Misri. Mwaka huo alitoa sadaka ya dhahabu nyingi sana Cairo, mpaka akashusha bei ya dhahabu.

Katika msafara wake huo, muandishi mmoja wa habari na historia maarufu wa Misri, alimuuliza. Mfalme, ulipataje kuwa Mfalme?

Mansa Musa akamjibu. Akamwambia kwamba, kabla yangu alikuwapo mflame mwingine, aliyeitwa Abubakar II. Abubakar alipenda sana kuchunguza vyanzo vya mambo. Mfalme Abubakar akasema, kama vile mto huu (Niger) ulivyo na ng'ambo ya pili yenye nchi kavu, vivyo hivyo hata bahari (Atlantic) ina ng'ambo ya pili yenye nchi kavu.

Mfalme Abubakar akajaza mamia ya mashua vyakula na maji, na vijakazi mbalimbali, waende kutazama kama upande wa pili wa bahari kuna nchi kavu.

Wale watu wakaenda, mashua ya mwisho ikarudi kutoa habari, kwamba walifika sehemu baharini kuna mawimbi makubwa kama maghorofa.

Mfalme Abubakar alivyosikia hivyo, akasema safari hii nitaenda mwenyewe nijionee. Akapanga vijakazi wake, mamia ya mashua, vyakula na maji. Akamuweka Mansa Musa kuwa mfalme wa muda wakati yeye yupo safarini.Akaenda baharini. Baada ya hapo hakuonekana tena.

Watu wa Mali walichukulia jambo lile kama la aibu sana. Kwamba Mflame wao amewatelekeza. Wakaenda kwenye vitabu vinavyoweka rekodi za Wafalme wa Mali, wakalifuta jina la Mansa Abubakar II.

Kisa hiki kinatufundisha nini?

A king abdicating his duties is a serious thing. Serious enough to be stricken off the records in the ancient Mali rosters.

Mbunge anapoomba kura, anaomba kupewa heshima kubwa sana. Akijiuzulu bila sababu ya msingi wajibu huu, amejionesha kuwa hafai uongozi wa umma.

Kwa sasa, sitaki kumpangia rais nani wa kumteua, kwa sababu ni haki yake ya kikatiba na kisheria.

Ila, nahoji ufanisi wa kuteua watu ambao walishajiuzulu uongozi wa umma bila sababu muhimu. Na zaidi, nahoji kama hivi vyeo inawezekana vikajazwa vizuri kwa watu kugombea badala ya kuteuliwa.

Na zaidi, kama kuna mbunge kachaguliwa na watu, mkuu wa wilaya anahitajika kufanya nini?
 
Uko sahihi, mimi ni magufulist

Turudi kwenye hoja yangu, ni uongo?
Siyo kweli, hiyo ni dhana tu! Lakini pia Wachaga ni wachapa kazi sana, mfano Reginald Meghi, na kama ukifanikiwa kufika Arusha na Kilimanjaro, utakubaliana na mimi! Kuna Wachaga wengi CHADEMA, lakini makabila mengine wapo pia, hata Wasukuma! Na pia, muhimu sana, kuna Wachaga wengi sana ccm!
 
Huyu ni JK type, huu ndio muda upinzzani kushikana mikono maana CCM watavurugana siku sio nyingi kwa style hii ya huyu mama.

Nilianza kumuamini lakini nimegundua mswahili siku zote ni shida tupu. Ataanza kupaka henna na vijora wenzie wanatafuna nchi.
Bora mswahili,hauuwi watu,,nyie hamna talenti ya kutawala,ni kuiba na kuua tu,,mmoja alijiuzia mgodi kwa laki 7,
Mwingine ni kufirisi watu,
Kassimu Hanga kaburi lake halijulikani liko wapi..
 
Mfumo ni ule ule hatuna maadili ktk kazi hasa za kisiasa. tungekuwa na tume ya maadili na ingekuwa na meno basi nasari hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi.
 
Bora mswahili,hauuwi watu,,nyie hamna talenti ya kutawala,ni kuiba na kuua tu,,mmoja alijiuzia mgodi kwa laki 7,
Mwingine ni kufirisi watu,
Kassimu Hanga kaburi lake halijulikani liko wapi..
Mie sio MATAGA jomba usikariri sio kila anayemkataa huyu mama ni MATAGA. BTW nakubali yeye kutokuwa katili mengine nawaachia wenzangu mtamjaji kwa nafasi zenu
 
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.

View attachment 1825048

View attachment 1825050
Ni wivu tu, mwenyekiti wa SACCOS alitumia ruzuku ya serikali kwenda kusoma Uingereza kumbe anaenda kujienjoy akarudi mikono mitupu lakini bado ni kiongozi, mngeanza na huyo kwanza ningewaona wa maana badala ya kuanza na vikambale.
 
Halafu akishaondoka aje Ndugai au???? Nyie mbwa hamna shukrani Wala haijulikani mnataka nini pumbavu zenu,ndiomaana dikteta alihamua kuwanyoosha tu ,maana alishajua mitanzania baadhi Ni mizombii
JPM ndo alikua rais wa kuwaweza hawa wabongo,,hata mkapa,si uliona,nyerere pia,,kununua gari scania hadi utume maombi taifani,,unasubiri miaka 10 upate kibali,,,tv ilikua no go zone,,ili msi rubuniwe na mabeberu
 
Back
Top Bottom