siyo kudai elungata mimi hiyo video clip niliiona, sasa jamaa aliweza kufanya hivyo atashindwa vipi kutumia cheo alichopewa kwa ajili ya raha zake zisizo na maadili tena mpaka ku recordWanadai eti alionekana akipapasa naniliu ya gigy money..kinyume na maadili ya uongozi..
Nasari ni kiongozi mzuri tu,,kwani harakati zake bungeni hukuziona?,hata kina mdee,bulaya ni wanasiasa dhahabu wale,,bado mkuu elungata hujanipa mwongozo kwahiyo wewe ungepata nafasi ya kuteua, ungemteua na kufanya naye kazi anafaa?
kwahiyo mkuu trump akinya juu ya meza utamruhusu na mwanao anye juu ya meza ?Trump alijisifu kumchezea uch* dada mmoja tena akarekodiwa na bado akapigiwa kura na wamarekani na akawa Rais wao kwa miaka minne.
Hakuna msafi chini ya jua..hakuna mkamilifu anayeishi akitegemea siku moja kufa na kuzikwa.kwahiyo mkuu trump akinya juu ya meza utamruhusu na mwanao anye juu ya meza ?
kwanini aliwaacha wapiga kura wa jimbo alilochaguliwa, yeye aliomba ridhaa kwao wakampa akawaacha na kuwasaliti, vipi hatoweza kumsaliti raisi wetu na nchi kwa ujumla?Rais alisema hatoangalia chama lengo likiwa ni kujenga umoja wa kitaifa.
Kama uwezo anao wa kiuongozi kwanini nafasi asipewe?.
Kama ni haki mbona miaka mitano iliyopita mliufyata?Uhuru ni haki acha upumbavu, uhuru ulipatikana 1961 hivyo uzumbukuku wako huo wa eti wamepewa uhuru na rais inaonyesha ni kiasi gani usivyo na akili.
Sasa kwa mawazo yako hata mama akifa kesho itaongoza Chadema? Kwa style hii ya kupingapinga kila kitu na malalamiko yasiokwisha CCM itachukua miaka200 kutoka madarakaniHata Magu maneno yalikuwa haya haya, ila leo yuko wapi?
Huyo ni kijana anayezidi kukua kiumri na kimtazamo.kwanini aliwaacha wapiga kura wa jimbo alilochaguliwa, yeye aliomba ridhaa kwao wakampa akawaacha na kuwasaliti, vipi hatoweza kumsaliti raisi wetu na nchi kwa ujumla?
Kama rais kashindwa kuteua watu sahihi, na katiba na sheria zinampa nafasi ya kuteua watu, suluhisho ni kubadili katiba na sheria ili rais asiteue ma DC.huu jamaa anaitwa relief asome hapa ishu si kumpangia raisi ishu ni je raisi kwanini anachukua aina hii ya watu kama nassari na kufanya nao kazi
mfano mimi binafsi yangu mtu akimsifu magufuli kinamna yeyote namuona hafai sababu magufuli anakuwa vipi msafi na huku alimteua sabaya kuwa mkuu wa wilaya na kuamua kufanya kazi naye
Kulikuwa na watu humu walijitoa akili wewe cha mtoto. Walipotea humu kwa aibuHamna lolote mkuu, hamnaga hoja wala agenda iliyo na malengo ya kitaifa. Nyinyi ni kupinga tu kila lifanywalo.
Hamuwezi kukaa kimya mbona kipindi cha jiwe mliufyata?? Shukuruni kwamba Marais waislam wana hekma na busara.
Kwa kutumia hizo hizo kodi zenu jiwe alifanya anavyotaka na mliufyata kimyaaaa hakuna cha kodi zenu wala nini.
Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya Rais.
kabisa nafasi kama hizi zifutwe au zigombaniwe kama post nyingine, lakini pia mkuu kiranga nini kifanyike kwa mambo ambayo katiba ya sasa yapo na yameahinishwa ufanyikaji wake na yanakiukwa wazi wazi tu na hakuna kinachofanyika, hakuna wa kuwa responsibleKama rais kashindwa kuteua watu sahihi, na katiba na sheria zinampa nafasi ya kuteua watu, suluhisho ni kubadili katiba na sheria ili rais asiteue ma DC.
Watu wachague ma DC au position ya u DC ifutwe.
Na zaidi, kama rais hajui kuteua wasaidizi vizuri, hapo mna tatizo kubwa zaidi kwa huyo rais kuhusiana na uwezo wake.
Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CHADEMA na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.
Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.
Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.
Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.
Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo

Hatuwezi kuheshimu rais ambaye hataki upinzaniNyinyi huwa hamna jema wala shukran.

Hahahaa!πππππππ pole sana lol! Umenifanya nitafakari.
Wananchi inabidi waji assert kuwa shame wazi hao wanao support ujinga huu. Hii linaweza kufunguliwa mashtaka mahakamani, ili kupata ufafanuzi wa wazi na wa kikatiba kuhusu hili suala, lakini nina shaka kesi inaweza kuwa ndefu au mahakama ikasema hili ni jambo la bunge, liamuliwe kibunge, ambako mpira utamrudia Spika ambaye sina imani naye.kabisa nafasi kama hizi zifutwe au zigombaniwe kama post nyingine, lakini pia mkuu kiranga nini kifanyike kwa mambo ambayo katiba ya sasa yapo na yameahinishwa ufanyikaji wake na yanakiukwa wazi wazi tu na hakuna kinachofanyika, hakuna wa kuwa responsible
Mfano wabunge wale 19 pia mengine aliyokuwa anafanya mwendazake
What is the way Forward?