Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Wanadai eti alionekana akipapasa naniliu ya gigy money..kinyume na maadili ya uongozi..
siyo kudai elungata mimi hiyo video clip niliiona, sasa jamaa aliweza kufanya hivyo atashindwa vipi kutumia cheo alichopewa kwa ajili ya raha zake zisizo na maadili tena mpaka ku record
 
bado mkuu elungata hujanipa mwongozo kwahiyo wewe ungepata nafasi ya kuteua, ungemteua na kufanya naye kazi anafaa?
Nasari ni kiongozi mzuri tu,,kwani harakati zake bungeni hukuziona?,hata kina mdee,bulaya ni wanasiasa dhahabu wale,,
Cdm wamefeli kushindwa kuwatumia wale,
Nikupe mfano,waziri mkuu wa sasa wa israel,,kabla alikua ameform coalition na Netanyahu kuunda serikali,Netanyahu akawa PM,
Uchaguzi uliofuata,Netanyahu akaomba tena Naftal waungane,waunde serikali kwani bila Naftali ,Netanyahu hangeweza kuunda serikali,wakakubaliana watashika UPM kwa awamu sana,
Shida ikaja Netanyahu anataka aanze yeye kuwa PM,,
Naftali beneth akaona huyu bwege niliungana nae akawa PM,kwanini haniachii na mie nianze kuwa PM,
Naftari beneth akajitoa na kwrnda kuungana na vyama vingine kikiwemo chama cha waarabu na wakaunda serikali,yeye Naftali akiwa PM..
Kwahiyo kuhama chama sio usaliti,ndo demokracy hiyo,,
Hakuna haja ya kuwachukia kina juakali,,siasa hazina adui wa kudumu,,
 
Rais alisema hatoangalia chama lengo likiwa ni kujenga umoja wa kitaifa.

Kama uwezo anao wa kiuongozi kwanini nafasi asipewe?.
kwanini aliwaacha wapiga kura wa jimbo alilochaguliwa, yeye aliomba ridhaa kwao wakampa akawaacha na kuwasaliti, vipi hatoweza kumsaliti raisi wetu na nchi kwa ujumla?
 
Uhuru ni haki acha upumbavu, uhuru ulipatikana 1961 hivyo uzumbukuku wako huo wa eti wamepewa uhuru na rais inaonyesha ni kiasi gani usivyo na akili.
Kama ni haki mbona miaka mitano iliyopita mliufyata?
 
kwanini aliwaacha wapiga kura wa jimbo alilochaguliwa, yeye aliomba ridhaa kwao wakampa akawaacha na kuwasaliti, vipi hatoweza kumsaliti raisi wetu na nchi kwa ujumla?
Huyo ni kijana anayezidi kukua kiumri na kimtazamo.

Kila binadamu anastahili kupewa second chance.
 
huu jamaa anaitwa relief asome hapa ishu si kumpangia raisi ishu ni je raisi kwanini anachukua aina hii ya watu kama nassari na kufanya nao kazi

mfano mimi binafsi yangu mtu akimsifu magufuli kinamna yeyote namuona hafai sababu magufuli anakuwa vipi msafi na huku alimteua sabaya kuwa mkuu wa wilaya na kuamua kufanya kazi naye
Kama rais kashindwa kuteua watu sahihi, na katiba na sheria zinampa nafasi ya kuteua watu, suluhisho ni kubadili katiba na sheria ili rais asiteue ma DC.

Watu wachague ma DC au position ya u DC ifutwe.

Na zaidi, kama rais hajui kuteua wasaidizi vizuri, hapo mna tatizo kubwa zaidi kwa huyo rais kuhusiana na uwezo wake.
 
Hamna lolote mkuu, hamnaga hoja wala agenda iliyo na malengo ya kitaifa. Nyinyi ni kupinga tu kila lifanywalo.

Hamuwezi kukaa kimya mbona kipindi cha jiwe mliufyata?? Shukuruni kwamba Marais waislam wana hekma na busara.

Kwa kutumia hizo hizo kodi zenu jiwe alifanya anavyotaka na mliufyata kimyaaaa hakuna cha kodi zenu wala nini.

Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya Rais.
Kulikuwa na watu humu walijitoa akili wewe cha mtoto. Walipotea humu kwa aibu
 
Kama rais kashindwa kuteua watu sahihi, na katiba na sheria zinampa nafasi ya kuteua watu, suluhisho ni kubadili katiba na sheria ili rais asiteue ma DC.

Watu wachague ma DC au position ya u DC ifutwe.

Na zaidi, kama rais hajui kuteua wasaidizi vizuri, hapo mna tatizo kubwa zaidi kwa huyo rais kuhusiana na uwezo wake.
kabisa nafasi kama hizi zifutwe au zigombaniwe kama post nyingine, lakini pia mkuu kiranga nini kifanyike kwa mambo ambayo katiba ya sasa yapo na yameahinishwa ufanyikaji wake na yanakiukwa wazi wazi tu na hakuna kinachofanyika, hakuna wa kuwa responsible

Mfano wabunge wale 19 pia mengine aliyokuwa anafanya mwendazake

What is the way Forward?
 
Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CHADEMA na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga

Mmh mgawanyiko kivipi mkuu
 
Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.

Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.

Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.

Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.

Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo

[emoji23][emoji23][emoji23] vugu vugu yani
 
..Mama Samia angeachana na wanasiasa / vijana wahuni-wahuni wa aina ya Joshua Nassari na Peter Lijualikali.

..Binafsi naangalia suala la CHARACTER / TABIA na naona vijana wale wangeachwa wakatafute maisha mtaani.

..siamini kama vijana hawa WANAAMINIKA na nashindwa kuelewa Raisi anatarajia nini kutoka kwao.

..lingine ni kwamba teuzi hizi zinaturudisha ktk siasa za hovyo ambazo tulitarajia Mama Samia atatuongoza ktk safari ya kuachana nazo.

..Naamini kuna vijana wengi wazuri nchi hii ambao wana rekodi nzuri walistahili kuteuliwa kuliko vijana ambao walipewa nafasi lakini wakazitumia vibaya.
 
Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.

Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.

Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.

Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.

Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo
Hatuwezi kuheshimu rais ambaye hataki upinzani

Kumteua Mashiji, Nasari na kuwakumbatia wabunge 19 wahuni ni kudharau upinzani tu the maximum.

Anatakiwa aache kupewa ushauri wa kijinga wa kuendelea kuua upinzani kwa kutumia chambo ya samaki anatakiwa ajenge hoja kuua upinzani...

Mambo ya kufuata aliyokuwa akifanya magufuli kipindi hiki lazima watu tushangae

Project ni ile ile lazima tutamrarua tu mtake msitake na huo ndio Uhuru wa habari wenyewe

Nyie hamtaki akosolewe yeye Mungu?
 
😂😂😂😂😂😂😂 pole sana lol! Umenifanya nitafakari.
Hahahaa!

I guarantee you nikianzisha mada niandike exactly kama ulivyoandika wewe, nitaambiwa namchukia Samia na nitaambiwa Magufuli harudi tena, keshakufa na kuoza!

Hiyo ndo JF ya siku hizi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
kabisa nafasi kama hizi zifutwe au zigombaniwe kama post nyingine, lakini pia mkuu kiranga nini kifanyike kwa mambo ambayo katiba ya sasa yapo na yameahinishwa ufanyikaji wake na yanakiukwa wazi wazi tu na hakuna kinachofanyika, hakuna wa kuwa responsible

Mfano wabunge wale 19 pia mengine aliyokuwa anafanya mwendazake

What is the way Forward?
Wananchi inabidi waji assert kuwa shame wazi hao wanao support ujinga huu. Hii linaweza kufunguliwa mashtaka mahakamani, ili kupata ufafanuzi wa wazi na wa kikatiba kuhusu hili suala, lakini nina shaka kesi inaweza kuwa ndefu au mahakama ikasema hili ni jambo la bunge, liamuliwe kibunge, ambako mpira utamrudia Spika ambaye sina imani naye.
 
Back
Top Bottom