bado mkuu elungata hujanipa mwongozo kwahiyo wewe ungepata nafasi ya kuteua, ungemteua na kufanya naye kazi anafaa?
Nasari ni kiongozi mzuri tu,,kwani harakati zake bungeni hukuziona?,hata kina mdee,bulaya ni wanasiasa dhahabu wale,,
Cdm wamefeli kushindwa kuwatumia wale,
Nikupe mfano,waziri mkuu wa sasa wa israel,,kabla alikua ameform coalition na Netanyahu kuunda serikali,Netanyahu akawa PM,
Uchaguzi uliofuata,Netanyahu akaomba tena Naftal waungane,waunde serikali kwani bila Naftali ,Netanyahu hangeweza kuunda serikali,wakakubaliana watashika UPM kwa awamu sana,
Shida ikaja Netanyahu anataka aanze yeye kuwa PM,,
Naftali beneth akaona huyu bwege niliungana nae akawa PM,kwanini haniachii na mie nianze kuwa PM,
Naftari beneth akajitoa na kwrnda kuungana na vyama vingine kikiwemo chama cha waarabu na wakaunda serikali,yeye Naftali akiwa PM..
Kwahiyo kuhama chama sio usaliti,ndo demokracy hiyo,,
Hakuna haja ya kuwachukia kina juakali,,siasa hazina adui wa kudumu,,