Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Chadema ni Chama cha wajinga
 
Mda si mrefu wataanza tenguliwa tena
 
Kumwelewa Mtanzania anachotaka yataka moyo hasa.
Na ukitaka kuchanganyikiwa fuata ushauri wa mwanachi wa Tanzania lazma ubaki dilema
 
Anazidi kuharibu tu kwani hizo nafasi MATAGA ndio walikuwa wanazitaka hivyo anazidi kuharibu pande zote.

Anatakiwa aachane na mambo ya kijinga aliyoyaasisi Mwendazake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisema toka mwanzo kwamba hakuna uteuzi wa moto kwa mibavicha kama huu wa ma dc!
 
Kupinga ni kazi ya upinzani, CCM ni ile ile, bado wimbi la kuunga juhudi mkono halijarudi
 
Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CHADEMA na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtanyooka tu!

Ujinga ni pale mnataka mama afanye kazi kwa kufuata mawazo ya machadema!

Tukiwambia mfumo alioutumia Magu kuongoza nchi ndio huo huo aliutaumia JK, MKAPA na sasa Samia nyie mnakuja hoo Samia siyo Mwenda zake!

Inavyoonekana machadema baada ya kifo cha Magu yanaona sasa matatizo yao yameisha, yani ni kama vile matatzo ya chadema alikuwa Magu.


Uteuzi huu wa makada toka chadema umewauma sana machadema toka ubelgiji hadi ufipa!

Kwa taarifa yenu tu! Mama yuko chini ya ccm na kamwe msitegemee atafanya jambo kuwafurahisha chadema, hata Sabaya alipokamatwa ni kwa Maslahi ya ccm, na kama unabisha huoni uungaji mkono aliopata mama toka hata kwa machadema? Na ukiunga mkono mama jua umeunga mkono ccm[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo katika hizi siku mia hana zuri hata moja alilofanya lenye uzito aswa? Ila sisi wanafiki sana,
Ngojea ije kutoka hukumu Ya Mdude Nyagali , tutaanza hapa kumsifia mama kuwa yupo vizuri kuliko dikteta, maana mdude anaenda kuachiwa huru Hana hatia,
Basi baada ya mama aje Ndugai
 
Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm. Ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CHADEMA na mwenyekiti. Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
Yes mkuu we una akili sana, humu watu wamebakia kulaumu kila analofanya Mama, mama anajaribu kuwafurahisha na Hawa yatima wa dikteta kwa asilimia ndogo, ila asilimia kubwa anataka aongoze Nchi kwa haki na kufuata misingi ya utu na sheria za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…