Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

Boss maoni yako batili, martin anafaa twitter tu na vijana wenzake. Waendelee kusukuma post, na awa influence nao waning’inize funguo za harrier kiunoni. Si ubunge. Tuheshimiane bwana.
Labda awe secretary wa mbunge.
All in all haweza pata jamaa.
 
Kama akina Salma kikwete ambao hata hawawezi kujenga hoja wako bungeni wanatunga Sheria vipi kuhusu kijana msomi na mwenye uelewa WA siasa za nchi hii. Martin deserves
 
Boss maoni yako batili, martin anafaa twitter tu na vijana wenzake. Waendelee kusukuma post, na awa influence nao waning’inize funguo za harrier kiunoni. Si ubunge. Tuheshimiane bwana.
Labda awe secretary wa mbunge.
All in all haweza pata jamaa.
Mkuu angalia wabunge wengine wapo bungeni ambao hata kuongea hawawezi sembuse Martin. Vijana wapewe nafasi
 
Sijakataa kwamba hana uwezo wa Kujenga hoja, Ila nilikuwa nataka kujua kuwa amesomea degree🎓 ya kitu gani?
Jamaa amemajor kwenye sheria. Huyu mtoa thread hamfahamu inaonekana.
Ila ana degree ya sheria nadhani. Na aliwahi au anafanya bado kazi tanapa sijamfatilia sana.
Ametokea bunda. And i know him ni kijana wa mbowe. Yaani yupo yupo pale chadema.
Nadhani ni kijana ambae yupo kwenye harakati za chadema na atleast ana mali.
Kuna kipindi kisutu ilimuhusu saaana back then wakati tunakua
 
Sidhani
 
Naunga mkono hoja atafute jimbo agombee,watu aina yake ndio tunao wahitaji katika zama hizi.

Sio watu wanaotumia robotatu ya muda wa kuchangia kumshukuru mtu kwa kumpa sifa utadhani huyo mtu ndio kaumba dunia na vyote vilivyomo.

Tupunguze chawa ndani ya bunge.
 
Back
Top Bottom