Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

Jamaa amemajor kwenye sheria. Huyu mtoa thread hamfahamu inaonekana.
Ila ana degree ya sheria nadhani. Na aliwahi au anafanya bado kazi tanapa sijamfatilia sana.
Ametokea bunda. And i know him ni kijana wa mbowe. Yaani yupo yupo pale chadema.
Nadhani ni kijana ambae yupo kwenye harakati za chadema na atleast ana mali.
Kuna kipindi kisutu ilimuhusu saaana back then wakati tunakua
2017 wewe ndiyo ulikuwa unakua ?

Siyo lawyer yule.
 
Ila chukulia vijana WA rika lake....anao uwezo WA kulisimamia Jimbo. Hata kama hana elimu kubwa Sana but ni mtafiti na mjenga hoja mzuri.
Vile vile propaganda anaziweza. He deserves CHADEMA imfikirie.
 
Kuzungumza anaweza? Public speaking .
Edo Kumwembe Anajua kuandika uchambuzi ila kuongea kawaida
Hili nalo neno maana siasa lazima uwe na porojo. Kikubwa afikishiwe ujumbe huu WA wanaJF....pia ni kijana mwenzetu tutamsaidia kumpush kiaina
 
Back
Top Bottom