Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

Huyu jamaa anajaribu Sana. Viongozi wengi WA afrika wanahitaji kuhojiwa Kwa detailed infos kama hizo hapo juu
 
Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.

He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Huyo ubunge wa nini !? Wakati yuko kwenye payroll ya Mbowe!.... Mshahara na posho anazopewa zinamtosha kujikimu...

Huyo si mwanaharakati!...

Analipwa na CDM kwa kazi moja tu.. ya Cyberbullying/Cyber attacking

Ni mwenye akili finyu tu atakataa kwamba MMM si mwajiriwa(mnufaika) wa chadema.
 
Ushahidi WA hiyo payroll unao. If not jikite Kwenye mada.
 
Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.

He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Huyu mwamba yuko vizuri kichwani
Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.

He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Supu ya kokoto?
 
Ng'ombe si anachinjwa kadri alivyolala
Ni kweli I don't support any cyber attack and assault lakini wengi wanaotukanana na MMM ni either wameanza kutukana wao au wanajibu hoja Kwa kukitukana chama chake. The only problem with MMM ni kuwa he is too extrimist.
 
yule anakula mema kimyakimya hana haja na ubunge chukua hiyo. lakini kwa kweli binafsi naona anastahili kuwemo mule ukizingatia kuna bunge limejaza takataka tupu 95%. mwendazake katika mambo aliboronga ni kuingilia uchaguzi wa wabunge.
 
Kama mtu kama kibajaji, msukuma, wako bungeni.

Hata mimi ninao huo uwezo tena nimewashinda kwa mbali sana kimaono na hata kujenga hoja.

Sema Sina connection tu
 
Mmeanza kampeni humu..chadema hakuna jipya labda kama kuna chama kingine chama cha familia hiki hatukitaki
 
Kama mtu kama kibajaji, msukuma, wako bungeni.

Hata mimi ninao huo uwezo tena nimewashinda kwa mbali sana kimaono na hata kujenga hoja.

Sema Sina connection tu
Live your dreams mkuu. Ni mwaka WA kuforce.
 
Nape,Makonda,makamba senior huwa hawatukani. Tena wao walishamteta mpaka rais aliyeko madarakani. Are you so forgetfull that way. Tatizo letu tunachunguza udhaifu WA MTU kabla ya mazuri yake.
Hana mazuri, Acha kuhangaika.
 
Back
Top Bottom