SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
š¤He deserves![]()

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤He deserves![]()

Hapo tatizo nini?š¤![]()
umakini ni muhimu kwa mambo haya šKupotezwa kupi unakozungumzia labda.
Kweli.....hasa katika siasa hizi za kizazi kipyaumakini ni muhimu kwa mambo haya š
Justify hizi tuhuma. JF sio Facebook.Martin ni Moja ya binadamu wapumbavu mno..Kama mtu alizaa na dada yake wa damu badi akilini hana Akili..Martin hana Degree wala certificate yoyote Chuo alifeli..Leo anakuja kushika akili nyingi za vijana na mwenzie boni kumbe kuna KIGOGO anawatumia mwisho wa siku anawatumia maokoto huku followers(WAPUMBAVU) Wenzake wakiona ni bonge la Mzalendo kumbe ni zee la kugoogle
Kwani akinadiwa kuongoza CHADEMA kuna tatizo gani?Hapo tatizo nini?
Kama ni kweli up stairs yuko vizuri akapambane na Heche kwanza this coming 2025. Huko TarimeNaunga mkono HOJA,yule Mura kichwani kina KITU..,apunguze tu matusi
Na ndio wanachojua ukiwaambia wajenge hoja na facts wanapoteanahazina kwa kumtukana Rais
Kwani siku hizi sofa ya kua mbunge ni pamoja na digrii?Sijakataa kwamba hana uwezo wa Kujenga hoja, Ila nilikuwa nataka kujua kuwa amesomea degreeš ya kitu gani?
Jamaa ni wamoto sana yule,huwa naona anavyoweka hoja zake,yaani yupo vizuri sana.Amempelekea Ummy moto na NHIF hadi siyo poa,Kitila Mkumbo,HKigwangala na wengine wengi,kweli unafikia hatua unasema jamaa anajitahidi sana kutumia ubongo wake.Kibongo bongo ukishaweza tu kupost andiko lako lisilo na kichwa wala miguu mtandaoni au kutukana viongozi unaonekana mwanaharakati kumbe deep down ni kiande tu
Mwambie atoke mtandaoni aje field, na asiishie kwenye mikutano yao tu ambayo hata hivyo ni aghalabu kumkuta kashika microphone na kushusha point zaidi ya kupiga picha na hao wanaojiita makamanda wenzake
Aje mtaani kwenye changamoto haswa, ashiriki na wananchi awasemee na ajitokeze kuelezea atatatua kwa namna gani na awe sehemu ya suluhisho na sio kutukana tu kama punguani
Naona unajipigia kampeniHuyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.
He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Utakuwa chizi,kampeni za mtandaoni zinapiga Kura?Naona unajipigia kampeni
Jamaa Yuko vizuri kabisa aseeJamaa ni wamoto sana yule,huwa naona anavyoweka hoja zake,yaani yupo vizuri sana.Amempelekea Ummy moto na NHIF hadi siyo poa,Kitila Mkumbo,HKigwangala na wengine wengi,kweli unafikia hatua unasema jamaa anajitahidi sana kutumia ubongo wake.
Yuko vizuri sana kichwani yule jamaa.