Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

ujamchunguza tu hafai kua kiongoz ni msela tu mwenye mdomo mchaf mbabe na hasira mbele na aangalii umri anatukan yyte matus ya nguon kibur na aogop chochote wala aeshim yyte labda mbowe..kua kiongoz sio mchezo mzee
Kwani sifa hizo zote huzioni Kwa Makonda,sabaya na wengineo? Hayo yote yameletwa na viongozi waliopo.
 
huyo awezi kuwa kiongozi ata kwenye familia yake kwanzi ni mtu anaye pandikiza chuki katika jamii pia huyo labda awe mbunge wa twitter uku buza atumjui
 
Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.

He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Mnachukulia rahisi kuongoza watu.
 
Martin ni Moja ya binadamu wapumbavu mno..Kama mtu alizaa na dada yake wa damu badi akilini hana Akili..Martin hana Degree wala certificate yoyote Chuo alifeli..Leo anakuja kushika akili nyingi za vijana na mwenzie boni kumbe kuna KIGOGO anawatumia mwisho wa siku anawatumia maokoto huku followers(WAPUMBAVU) Wenzake wakiona ni bonge la Mzalendo kumbe ni zee la kugoogle
Sasa ulitaka azae nawewe[emoji16],kumjadili mtu ndo Kuna dhihirisha kuwa wewe ndie mpumbavu,kumjua jua sana mwanaume mwenzio nako pia ni tatizo,Nina mashaka naww kile kiduara sidhani kama kipo salama.
 
Labda lianzishwe bunge la twitter na sera ziwe ni matusi ndo atashinda maana hata kutetea hoja zake hawezi huwa anajibu matusi
 
Martin ni Moja ya binadamu wapumbavu mno..Kama mtu alizaa na dada yake wa damu badi akilini hana Akili..Martin hana Degree wala certificate yoyote Chuo alifeli..Leo anakuja kushika akili nyingi za vijana na mwenzie boni kumbe kuna KIGOGO anawatumia mwisho wa siku anawatumia maokoto huku followers(WAPUMBAVU) Wenzake wakiona ni bonge la Mzalendo kumbe ni zee la kugoogle
Kumbe alionja asali ya dadaake?
 
Me nataka nijue elimu yake...mbali na hapo jamaa Yuko vizuri ila umaarufu unamsadia maana akiandka yeye kitu wanakiona wengi kuna vitu anaandikaga huwa ni nondo za watu kwenye comment then yeye anaichukua na kuiremba kidogo anaipost anapata maua yakutosha....all in all yupo njemaa.
 
Kuweni serious basi.

Huyo jamaa hafai hata kuwa balozi wa kitongoji, uongozi sio kutukana watu/viongozi mitandaoni.
Nape,Makonda,makamba senior huwa hawatukani. Tena wao walishamteta mpaka rais aliyeko madarakani. Are you so forgetfull that way. Tatizo letu tunachunguza udhaifu WA MTU kabla ya mazuri yake.
 
Martin ni Moja ya binadamu wapumbavu mno..Kama mtu alizaa na dada yake wa damu badi akilini hana Akili..Martin hana Degree wala certificate yoyote Chuo alifeli..Leo anakuja kushika akili nyingi za vijana na mwenzie boni kumbe kuna KIGOGO anawatumia mwisho wa siku anawatumia maokoto huku followers(WAPUMBAVU) Wenzake wakiona ni bonge la Mzalendo kumbe ni zee la kugoogle
Wabongo hawa, mbona wewe huwezi kuwapinga hawa wadhalim
 
Labda lianzishwe bunge la twitter na sera ziwe ni matusi ndo atashinda maana hata kutetea hoja zake hawezi huwa anajibu matusi
Mkuu,kuwa positive na hili. Martin maranja anaweza kabisa sema labda ni roho mbaya Tu Ila namna anavyoibua hoja....Yuko poa sana
 
Back
Top Bottom