Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
- Thread starter
-
- #81
Huyo ubunge wa nini !? Wakati yuko kwenye payroll ya Mbowe!.... Mshahara na posho anazopewa zinamtosha kujikimu...Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.
He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Ng'ombe si anachinjwa kadri alivyolalaNaunga mkono HOJA,yule Mura kichwani kina KITU..,apunguze tu matusi
Ushahidi WA hiyo payroll unao. If not jikite Kwenye mada.Huyo ubunge wa nini !? Wakati yuko kwenye payroll ya Mbowe!.... Mshahara na posho anazopewa zinamtosha kujikimu...
Huyo si mwanaharakati!...
Analipwa na CDM kwa kazi moja tu.. ya Cyberbullying/Cyber attacking
Ni mwenye akili finyu tu atakataa kwamba MMM si mwajiriwa(mnufaika) wa chadema.
Huyu mwamba yuko vizuri kichwaniHuyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.
He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Supu ya kokoto?Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.
He deserves....na haya ni maoni binafsi.
Ni kweli I don't support any cyber attack and assault lakini wengi wanaotukanana na MMM ni either wameanza kutukana wao au wanajibu hoja Kwa kukitukana chama chake. The only problem with MMM ni kuwa he is too extrimist.Ng'ombe si anachinjwa kadri alivyolala
🤸Huyu mwamba yuko vizuri kichwani
Supu ya kokoto?
Ajaribu. Asimame na yeye akosolewe.Napendekeza aende Jimbo la BUNDA
Live your dreams mkuu. Ni mwaka WA kuforce.Kama mtu kama kibajaji, msukuma, wako bungeni.
Hata mimi ninao huo uwezo tena nimewashinda kwa mbali sana kimaono na hata kujenga hoja.
Sema Sina connection tu
Hatuchagui vyama,tunachagua watu. Punguza kiherehere.Mmeanza kampeni humu..chadema hakuna jipya labda kama kuna chama kingine chama cha familia hiki hatukitaki
Hana mazuri, Acha kuhangaika.Nape,Makonda,makamba senior huwa hawatukani. Tena wao walishamteta mpaka rais aliyeko madarakani. Are you so forgetfull that way. Tatizo letu tunachunguza udhaifu WA MTU kabla ya mazuri yake.
Mazuri yake wengine tunayaona. Au wewe ndo kipimo cha mazuri Tz nzimaHana mazuri, Acha kuhangaika.
Acheni kudanganyana huko twitter, Jamaa yenu hana sifa za uongozi.Mazuri yake wengine tunayaona. Au wewe ndo kipimo cha mazuri Tz nzima
Anazo mkuu ukilinganisha na aina ya wabunge tulio nao.Acheni kudanganyana huko twitter, Jamaa yenu hana sifa za uongozi.
Hao watu hawana vyama??Hatuchagui vyama,tunachagua watu. Punguza kiherehere.