Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hii ni taarifa ya Ntobi
Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain

 
Umebaki wewe kamanda wa mitandaoni.
 
CHADEMA mnapenda sana uzushi na kutoa vitaarifa kwa lengo la kuleta taharuki kwa watu.hata hivyo ni kuwa watanzania wamewachokeni na hawapo upande wenu hata mkitupwa ndani wote. Maana uvumilivu sasa basi.mmevumiliwa vya kutosha na kuachwa vya kutosha.sasa ni lazima mfundishwe kutii na kufuata sheria.hampo juu ya sheria na wala Nchi hii siyo Geto.
 
Mungu wangu
 
Watafanikia kuifungua Samsung. Lakini hiyo iphone watatambika nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…