Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

CHADEMA mnapenda sana uzushi na kutoa vifltaarifa kwa lengo la kuleta taharuki kwa watu.hata hivyo ni kuwa watanzania wamewachokeni na hawapo upande wenu hata mkitupwa ndani wote. Maana uvumilivu sasa basi.mmevumiliwa vya kutosha na kuachwa vya kutosha.sasa ni lazima mfundishwe kutii na kufuata sheria.hampo juu ya sheria na wala Nchi hii siyo Geto.
Kwa haya yanayoendelea nchini sijui uongozi wa nchi hii unataka kuwatia hofu wananchi hadi tuogope kutembea njiani au ni nini? Mbona haya matukio ya ukamataji na utekaji yanafanyika sana kwa viongozi wa vyama vya upinzani?!
 
Matapeli wa siasa uchwara ndio mtaogopa sisi tupo tu tunapiga vinywaji kama kawaida.
 
Sina maana ya kuunga mkono yanayoendelea ila Chadema wangetafuta njia nyingine ya kufanya mambo yao mana huwezi kushindana na serikali na ukashinda, walishapewa green light ya kupata Kitu 2025 ila naona wanataka kumpanda kichwa serikali.
 
CHADEMA mnapenda sana uzushi na kutoa vitaarifa kwa lengo la kuleta taharuki kwa watu.hata hivyo ni kuwa watanzania wamewachokeni na hawapo upande wenu hata mkitupwa ndani wote. Maana uvumilivu sasa basi.mmevumiliwa vya kutosha na kuachwa vya kutosha.sasa ni lazima mfundishwe kutii na kufuata sheria.hampo juu ya sheria na wala Nchi hii siyo Geto.
Chadema wanakiwanda cha uongo by,JK Kikwete
 
CHADEMA mnapenda sana uzushi na kutoa vifltaarifa kwa lengo la kuleta taharuki kwa watu.hata hivyo ni kuwa watanzania wamewachokeni na hawapo upande wenu hata mkitupwa ndani wote. Maana uvumilivu sasa basi.mmevumiliwa vya kutosha na kuachwa vya kutosha.sasa ni lazima mfundishwe kutii na kufuata sheria.hampo juu ya sheria na wala Nchi hii siyo Geto.
Pamoja na UCHAWA wako, wakimalizwa wale utafuata wewe.
 
Sina maana ya kuunga mkono yanayoendelea ila Chadema wangetafuta njia nyingine ya kufanya mambo yao mana huwezi kushindana na serikali na ukashinda, walishapewa green light ya kupata Kitu 2025 ila naona wanataka kumpanda kichwa serikali.
Chadema wanatekana by Dk w.slaa

USSR
 
Back
Top Bottom