Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Wamezitanguliza simu zake polisi, watatuia teknolojia waliyonayo na hakika wataziwekea jinai na baadae watamchukua yeye na kumshitaki kwa Jinai hizo wakati huohuo wakitafutwa wa kuunganishwa naye......

Tayari wameshaanza na Boniface Jacob a.k.a Boniyai. Anatengenezewa Jinai na yote hii kuzitafuta zile "Big Three"kuziunganisha.....

Mbinu ileile ya kumuunganisha Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi mwaka 2020/2021 ndiyo wanaitumia sasa na vinara wa kusuka mipango hii ni wale Camllius Wambura (sasa IGP) na Ramadhani Kingai (sasa DCI)...

Tuweke kwenye akili zetu muda wote kuwa: Hapa wanaotafutwa kuwa incriminated ni Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika ambao ndiyo mhimili wa CHADEMA........

Mradi wa kuifuta na kuipoteza CHADEMA unaendelea. Safari hii wahalifu, majambazi na magaidi hawa wanautumia udhaifu wa mwanamke huyu (Rais Samia) kwa ukamilifu.....

SWALI NI: WATAWEZA IWAPO JIWE, MWANAUME WA SHOKA MWENYEWE MWASISI WA UHUNI NA UJINGA HUU JOHN P. MAGUFULI ALISHINDWA......?

Mimi nasema, it's too late. Hawataweza kamwe na wanayafanya haya kwa hasara na maangamizi yao wenyewe.....!!
Mbowe ni gaidi aliachiwa kwa huruma tu na hapa masese na genge lake wajiandae tuliwaonya waache kuchezea aman ya taifa letu

USSR
 
Jamani hii Nchi yetu sote. Na ukiona Jamii ina watu wake wote wenye mawazo na mitazamo inayofanana , ujue kwamba hiyo ni jamii mfu.
Kuna mtu kakatazwa kuwa na mawazo tofauti? Shida inakuja pale unapotaka kulazimisha hayo mawazo Yako tofauti Kwa njia za kinyume na sheria na zinazoleta taharuki.
 
Kwa haya yanayoendelea nchini sijui uongozi wa nchi hii unataka kuwatia hofu wananchi hadi tuogope kutembea njiani au ni nini? Mbona haya matukio ya ukamataji na utekaji yanafanyika sana kwa viongozi wa vyama vya upinzani?!
Mtanikumbuka sana, si kwa mabaya bali kwa mazuri ! Tuko wapi sasa kwa wale mlioshangilia Kifo cha Mpendwa wetu. Mlkaa kuvumisha hata kabla ya kufariki badala ya kumuombea apone. Sasa yamewakuta. Kwa hili pamoja na kwamba hayafurahishi ila tukikumbuka kwa jinsi watu wao walivyoshereheka Kifo cha ndugu yetu Kipenzi, nashindwa kuendelea kuwaonea huruma, hata kama siungi Mkono HIVI vitendo wanavyofanyiwa. Na wao Walikosa Ubinadamu wakati wa Kifo cha JIWE ( RIP).
 
Kuna mtu kakatazwa kuwa na mawazo tofauti? Shida inakuja pale unapotaka kulazimisha hayo mawazo Yako tofauti Kwa njia za kinyume na sheria na zinazoleta taharuki.
Anayalazimisha je. Maana ni kazi yetu sisi wapiga Kura kusikiliza jamaa wanavyojinadi au kutangaza sera zao au hata kutoa maoni yao , na sisi tukayapima. Atakayeshawishika na mawazo yao anawaunga mkono muda ukifika November 2024 na November 2025. Tusiogope Vivuli tu !
 
Anayalazimisha je. Maana ni kazi yetu sisi wapiga Kura kusikiliza jamaa wanavyojinadi au kutangaza sera zao au hata kutoa maoni yao , na sisi tukayapima. Atakayeshawishika na mawazo yao anawaunga mkono muda ukifika November 2024 na November 2025. Tusiogope Vivuli tu !
Kwa hiyo hayo maandamano ya Samia must go ndio sanduku la kura Hilo au maoni tofauti?
 
Kwa hiyo hayo maandamano ya Samia must go ndio sanduku la kura Hilo au maoni tofauti?
Lakini si pande zote wamekuwa wakutupiana vijembe na mipasho, mpaka wengine wameoteshwa Mikia na hivyo si binadamu tena bali wanyama. Na wakati mwingine ukishamgeuza binadamu kuwa mnyama, hata anaweza kupoteza ule utu na kuanza kufikilia kama Mnyama na kutafuta tena namna ya kurudisha utu au ubindamu wake, na hapo ndipo tunaanza kusikia kauli za kitata na mihemuko kama hizo. Imani ya mwana Tanu-Binadamu Wote Ni sawa ! Bado imani hii tunaienzi kwa Vitendo kwa nyie wa upande wa rangi yetu pendwa ??.
 
Lakini si pande zote wamekuwa wakutupiana vijembe na mipasho, mpaka wengine wameoteshwa Mikia na hivyo si binadamu tena bali wanyama. Na wakati mwingine ukishamgeuza binadamu kuwa mnyama, hata anaweza kupoteza ule utu na kuanza kufikilia namna ya kurudisha utu au ubindamu wake, na hapo ndipi tunaanza kusikia kauli za kitata na mihemuko kama hizo. Imani ya mwana Tanu-Binadamu Wote Ni sawa ! Bado imani hii tunaienzi kwa nyie wenye rangi yetu??.
Maandamano ni marufuku
 
Samiah must go
Hii kauli tata. Ambiguous slogan, and if you bring someone to court because of uttering or promoting such a statement, without indicating further violent acts or criminal deeds, you cant indict some one on this basis. Ni politics hizi na zinapaswa kuwa addressed politically, siyo mpaka huko tunakoelekea sasa.
 
Back
Top Bottom