Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Labla polisi walikuja kama wezi wanavyofanya, wakainyakuwa simu yake na kukimbia nayo kuingia kwenye difenda lao na kuhepa
Kwa ninavyowajua polisi kama wamemchukulia tu simu wakamwambia aende nyumbani akalale bila kumbeba kumpeleka lockup basi jamaa anaundugu na IGP
 
Wamezitanguliza simu zake polisi, watatuia teknolojia waliyonayo na hakika wataziwekea jinai na baadae watamchukua yeye na kumshitaki kwa Jinai hizo wakati huohuo wakitafutwa wa kuunganishwa naye......

Tayari wameshaanza na Boniface Jacob a.k.a Boniyai. Anatengenezewa Jinai na yote hii kuzitafuta zile "Big Three"kuziunganisha.....

Mbinu ileile ya kumuunganisha Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi mwaka 2020/2021 ndiyo wanaitumia sasa na vinara wa kusuka mipango hii ni wale Camllius Wambura (sasa IGP) na Ramadhani Kingai (sasa DCI)...

Tuweke kwenye akili zetu muda wote kuwa: Hapa wanaotafutwa kuwa incriminated ni Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika ambao ndiyo mhimili wa CHADEMA........

Mradi wa kuifuta na kuipoteza CHADEMA unaendelea. Safari hii wahalifu, majambazi na magaidi hawa wanautumia udhaifu wa mwanamke huyu (Rais Samia) kwa ukamilifu.....

SWALI NI: WATAWEZA IWAPO JIWE, MWANAUME WA SHOKA MWENYEWE MWASISI WA UHUNI NA UJINGA HUU JOHN P. MAGUFULI ALISHINDWA......?

Mimi nasema, it's too late. Hawataweza kamwe na wanayafanya haya kwa hasara na maangamizi yao wenyewe.....!!
 
JPM hakushndwa ila alikuwa anawafundisha adabu. Sasa mama alivyokuja alidhani mlikuwa mnaonewa ila nae ameujua ukweli na yeye anapita mulemule alipopita JPM
 
Sina maana ya kuunga mkono yanayoendelea ila Chadema wangetafuta njia nyingine ya kufanya mambo yao mana huwezi kushindana na serikali na ukashinda, walishapewa green light ya kupata Kitu 2025 ila naona wanataka kumpanda kichwa serikali.
Yale Yale ya katiba mpya wakakosa yote.
 
Wamezitanguliza simu zake polisi, watatuia teknolojia waliyonayo na hakika wataziwekea jinai na baadae watamchukua yeye na kumshitaki kwa Jinai hizo wakati huohuo wakitafutwa wa kuunganishwa naye......

Tayari wameshaanza na Boniface Jacob a.k.a Boniyai. Anatengenezewa Jinai na yote hii kuzitafuta zile "Big Three"kuziunganisha.....

Mbinu ileile ya kumuunganisha Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi mwaka 2020/2021 ndiyo wanaitumia sasa na vinara wa kusuka mipango hii ni wale Camllius Wambura (sasa IGP) na Ramadhani Kingai (sasa DCI)...

Tuweke kwenye akili zetu muda wote kuwa: Hapa wanaotafutwa kuwa incriminated ni Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika ambao ndiyo mhimili wa CHADEMA........

Mradi wa kuifuta na kuipoteza CHADEMA unaendelea. Safari hii wahalifu, majambazi na magaidi hawa wanautumia udhaifu wa mwanamke huyu (Rais Samia) kwa ukamilifu.....

SWALI NI: WATAWEZA IWAPO JIWE, MWANAUME WA SHOKA MWENYEWE MWASISI WA UHUNI NA UJINGA HUU JOHN P. MAGUFULI ALISHINDWA......?

Mimi nasema, it's too late. Hawataweza kamwe na wanayafanya haya kwa hasara na maangamizi yao wenyewe.....!!
Ukimuingiza magu kwenye huu ujinga wa serikali hii ndio hapo hua tunatifautiana aisee hiyo tarehe 23 anadamana peke yako kumbe ni washenzi tu mpo Kwa maslahi yenu sio Kwa taifa
 
Shetani hana Rafiki, Subiri atekwe mamaako
Atekwe kwa sababu gani? Au kama alivyosema Mwenyekiti wenu kwenye video clip hii hapa chini.

Memo yuko sentero leo kauze mayai

USSR
Utaishia kuhamgaika na vi komenti miaka nenda rudi JF jengo la yule unayesema anauza Mayai, pambana na hali yako pambaf.

7A7A9000-2A58-4812-B793-AF701B4857F7.jpeg
 
Hii ni taarifa ya Ntobi
Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain

Mama ameamua kuwa Magufulo jike
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Njoo Target nikupeleke home kwangu ukapaone mkuu!
Weka hata picha nani hakujui kapuku wewe miaka 20 mpo JF na Boniface wakati yeye ni meya wewe kazi yako ni uchawa tu
 
Back
Top Bottom