Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Haka kajamaaa, kametwit Jana ukiwa una ujinga KICHWAN , unaweza kadhania kwamba kenyewe kanawapenda akina Lissu na Heche na kwamba hamna wa kuwatoa.
Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.
At the same time, anachomekea maneno ya "Mkutano Mkuu pekee ndio unaweza kuwatoa akina HECHE na LISSU"..
Sasa Mimi nakuuliza ,huo Mkutano Mkuu umtoe Lissu na Heche kwa makosa gan waloyafanya kwa Mujibu wa KATIBA ya CHADEMA ??.
KWANN UKIMBILIE"" MKUTANO MKUU KUWATOA ",??
Chama hakina Kamati ya Nidhamu ikiwa wamekosea??.
NI HIVI, LISSU NA HECHE NI VIONGOZI WA CHADEMA, WATAONDOLEWA NA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI MIAKA KADHAA IJAYO.
Hamna namna ya kuwaondoa hao na yeyote atakayesimama Nje ya Matumaini ya Wananchi, ataanguka vibaya sanaaa