Martin Maranja Masese , wewe ni kirusi tu CHADEMA, kwahiyo hapa unajaribu kusema Mpango wenu 'Mkutano Mkuu ndio utawatoa Lissu na Heche "

Haka kajamaaa, kametwit Jana ukiwa una ujinga KICHWAN , unaweza kadhania kwamba kenyewe kanawapenda akina Lissu na Heche na kwamba hamna wa kuwatoa.

Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.

At the same time, anachomekea maneno ya "Mkutano Mkuu pekee ndio unaweza kuwatoa akina HECHE na LISSU"..

Sasa Mimi nakuuliza ,huo Mkutano Mkuu umtoe Lissu na Heche kwa makosa gan waloyafanya kwa Mujibu wa KATIBA ya CHADEMA ??.

KWANN UKIMBILIE"" MKUTANO MKUU KUWATOA ",??

Chama hakina Kamati ya Nidhamu ikiwa wamekosea??.

NI HIVI, LISSU NA HECHE NI VIONGOZI WA CHADEMA, WATAONDOLEWA NA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI MIAKA KADHAA IJAYO.

Hamna namna ya kuwaondoa hao na yeyote atakayesimama Nje ya Matumaini ya Wananchi, ataanguka vibaya sanaaa
Kibaraka Lisu ni mtoro kazini bila taarifa, na hajawahi kufika ofisini kwa zaidi ya mwaka mzima, na kwahivyo kujiondoa mwenyewe uongozini kwa mujibu wa Katiba ya chadema,

na joni heche amepoteza uhalali wa kua kiongozi kwa ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na familia yake.

So,
hao wawili hawana uhalali tena wa kua viongozi wa chadema, na mkutano mkuu unafaa kuitishwa na kuwachagua viongozi wengine kukaimu nafasi hizo mpaka uchaguzi mweingine utakapowadia 🐒
 
Martin, Bon, Lema, Sugu...
naunga mkono hoja,mamluki hawajakwisha ndani ya CDM ,kuna mapandikizi....nafikiri LISU na HECHE ni combination ambayo haiwapendezi...

nafikiri wanapanga kupandikiza combination yao mpadala itakayokuwa na WATU WAO(mapandikizi) walioko CDM kimkamati

si umeona tofauti ya CDM ya TL na ya mboye...

hata ile NO REFORM NO ELECTION isingekuwepo bila uongozi wa TL.
 
Wewe nawe ni aina ya Yericko Nyerere mnajikuta malaika kumbe wavuruga chama..!!
Chama bado kina Mapandikizi ya
Kabisaa halafu hawajifichi wanajiona wao wana hati miliki ya chama..!! 😹
wangese Kinyama yaani 🤣 tupo verified humu hatuwezi kuandika , halafu wana kauli za kibabe kumbe watu wana mapenzi na chama. Yaani akisimama Heche kule halafu MBOGAMBOGA, Wasanii wote wa Bongo Fleva na wakawa wanagawa 10k niamini watu wataenda kwa Heche. Sema MBOGAMBOGA kama wamepigwa na mayai viza🤣
 
Heche mmoja ni sawa na nyuklia 100 watamuweza wapi? 😹😹
 
Kibaraka Lisu ni mtoro kazini bila taarifa, na hajawahi kufika ofisini kwa zaidi ya mwaka mzima, na kwahivyo kujiondoa mwenyewe uongozini kwa mujibu wa Katiba ya chadema,

na joni heche amepoteza uhalali wa kua kiongozi kwa ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na familia yake.

So,
hao wawili hawana uhalali tena wa kua viongozi wa chadema, na mkutano mkuu unafaa kuitishwa na kuwachagua viongozi wengine kukaimu nafasi hizo mpaka uchaguzi mweingine utakapowadia 🐒
Kama mtu kafanya mauaji October kakili mwenyewe kwenye tume ya Chande kwamba ni mia tano japokua idadi imechakachuliwa bado ni Kiongozi sembuse Hech na Lissu sometimes muwe mnafikiria sio kila mtu mpumbavu hatuna akili Kama nyie
 
Haka kajamaaa, kametwit Jana ukiwa una ujinga KICHWAN , unaweza kadhania kwamba kenyewe kanawapenda akina Lissu na Heche na kwamba hamna wa kuwatoa.

Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.

At the same time, anachomekea maneno ya "Mkutano Mkuu pekee ndio unaweza kuwatoa akina HECHE na LISSU"..

Sasa Mimi nakuuliza ,huo Mkutano Mkuu umtoe Lissu na Heche kwa makosa gan waloyafanya kwa Mujibu wa KATIBA ya CHADEMA ??.

KWANN UKIMBILIE"" MKUTANO MKUU KUWATOA ",??

Chama hakina Kamati ya Nidhamu ikiwa wamekosea??.

NI HIVI, LISSU NA HECHE NI VIONGOZI WA CHADEMA, WATAONDOLEWA NA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI MIAKA KADHAA IJAYO.

Hamna namna ya kuwaondoa hao na yeyote atakayesimama Nje ya Matumaini ya Wananchi, ataanguka vibaya sanaaa
Mzee hapa umepuyanga 📌
 
Mke wa Mbowe unaendeleaje na ndoa?

Nikikumbuka ulivyokuwa unalamba makalio ya Mbowe kwa kumuona malaika, nabaki kucheka tuu 😂
Erythrocyte ni mwanachama wa Chadema ambae loyalty yake ni kwa uongozi uliopo. Sio kosa kuendelea kumheshimu kiongozi aliyeshindwa katika uchaguzi na kuthamini mchango wake kwa chama chake. Hawezi kulaumiwa akiwa anafanya hivyo. Mtu mwenye macho aliona jinsi uongozi uliopo unavyomheshimu Mbowe wakati wa msiba wa mkwe wake. Juhudi zote za kumchafua zilishindikana.

Amandla...
 
Ery ni mpumbavu tuu kama Wapumbavu wengine.

Mwenye akili anatambua ubovu kwenye kile anachokipenda, sio kisa unakipenda bc Unajifanya huoni ubovu.
 
Back
Top Bottom