Martin Maranja Masese , wewe ni kirusi tu CHADEMA, kwahiyo hapa unajaribu kusema Mpango wenu 'Mkutano Mkuu ndio utawatoa Lissu na Heche "

Martin Maranja Masese , wewe ni kirusi tu CHADEMA, kwahiyo hapa unajaribu kusema Mpango wenu 'Mkutano Mkuu ndio utawatoa Lissu na Heche "

Nadhani mpeta hoja asishambuliwe. Jaribuni kujadili hoja..
 
Ery ni mpumbavu tuu kama Wapumbavu wengine.

Mwenye akili anatambua ubovu kwenye kile anachokipenda, sio kisa unakipenda bc Unajifanya huoni ubovu.
Haumtendei haki kwa kumtukana.

Mtu mwenye nia njema na chama chake hatakikosoa hadharani. Atakikosoa wakiwa wenyewe. Tena inawezekana wakiwa wenyewe anatumia lugha ngumu kuliko sisi ambao sio wanachama au wafuasi wa chama hicho.

Amandla...
 
Na kawaida, mabadiliko ya uongozi wa juu wa CHADEMA huwa yanafanyika kupitia mkutano Mkuu.
 
Haumtendei haki kwa kumtukana.

Mtu mwenye nia njema na chama chake hatakikosoa hadharani. Atakikosoa wakiwa wenyewe. Tena inawezekana wakiwa wenyewe anatumia lugha ngumu kuliko sisi ambao sio wanachama au wafuasi wa chama hicho.

Amandla...
Umejuaje anakikosoa wakiwa wenyewe?
 
Hao hawatusumbui kabisa maana Sasa hivi wanalazimisha kuwepo ndani ya chama lkn mfumo unawakataa
Kwa akili yako hii...

Unaamini Chadema ni chama cha ukoo, kwamba haipokei asiye mwana ukoo...

Pumbavu...

Mfumo upi unawakataa wanachama wapya ndani ya Chadema?
 
Ila wewe jamaa mjuaji ******* ,sometime tunataka kupoteza smart people kwa ramli zenu chonganishi🖕🏻
 
Msameheni huyu Carlos The Jackal ni unguided missile. Huwa anakurupuka tu mada zake.

Na hivi ameandika anaweza asirudi tena kusoma wala kujibu
Moja ya watu wajinga wajinga humu amejaa mihemko tu. Martin ni moja wa vijana chadema ambaye sio mfuata upepo kwenye kweli atasema kweli na alichosema hapo ni kitu sahihi kuwaambia mapashukuna wanaotaka Heche ajiuzulu wasubiri 2029 kwenye uchaguzi au kamati kuu itakavyokaa sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom