Martin Maranja: Najutia kumpa mtoto wangu jina la “Freeman”

Ni kupitia mtandao wa X ambapo Martin Maranja Masese ameandika makala ndefu akisikitishwa na ushiriki wa Mbowe kwenye huo uzinduzi.

Kwakweli ameandika kwa uchungu mkubwa na mwishoe kasema anajuta kumpa mwanae jina la Freeman.

It is very bad!
Mbowe bado anawatesa tu
 
Mbowe sio fala kwamba Yuko hapo kuendeshwa Kwa emotions.

Pambanane na lipeni gharama za ujinga wenu,mstake wengine wawabebee.
Ama kweli mjinga mjinga tuuu leo mwana lumumba buku7fc unamtetea mjumbe wa kamati kuu chadema pia kub msitafu na mbunge wa hai mala 3 mstafu kweli nyinyi chawa
 
Politics is a game of interests, siwezi kuwa shabiki maandazi kiasi hicho mpaka nifike hatua ya kumpa mtoto wangu jina la mwanasiasa.
Majina huitwa, tu.

Sema aende kwa mwanasheria abadilishe hilo jina.
 
Mbowe ameamua kuishi kama Lipumba au Lyatonga. Anaweza kufanikisha kuivuruga chadema kwa kusaidiwa na dola lakini hawezi kufanikisha kuwavuruga wananchi wapenda haki
 
Huyo Martin Maranja Masese asituzingue na swaga za kipumbavu za kujuta. Kama kweli anajuta ambadilishie jina huyo huyo mwanae. Na kama hawezi basi ampe sumu au amnyonge aondoe tatizo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…