Martin Maranja: Najutia kumpa mtoto wangu jina la “Freeman”

Kwa ili kama mnamlazimisha wakati alishajulikana ni mfanyakazi wa kule
 
Mwaka 1981 ...Freeman Mbowe aliajiriwa na Benki kuu ya Tanzania (BOT) akiwa ametoka kumaliza kidato cha Sita akiwa na miaka 20, tena alipewa nafasi nyeti kama Ofisa wa benki kitengo cha fedha za kigeni.

Gavana wa Benki kuu, BOT alikuwa Mzee Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Mbowe, pia ndiye muasisi wa Chadema.

Naibu Gavana wa BOT alikuwa mzee Bob Makani ambaye alikuwa ni katibu mkuu wa kwanza wa Chadema.

Baba yake Mbowe, Mzee Aikael alikuwa mkereketwa na mwanachama wa TANU na baadae kuwa CCM.Pia alikuwa ni swahiba wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, na mwenyekiti wa kwanza wa chama cha CCM.

Mbowe amekuzwa makuzi yake na CCM.

Leo hii mtu atokee anambie Freeman Mbowe ni mpinzani wa CCM nitastaajabu sana kuliko kustaajabu mambo ya Firauni.

Anyway hii ni historia fupi ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe




Mfahamu kidogo Mh Freeman Aikael Mbowe halafu unganisha nukta utajua nini kinaendelea

 
Mkuu, cycle za mitaani kwetu zimejaa wachaga, tumewaoa tunawajua, ni mashemeji zetu. Hakuna haja ya tafiti
 
Malizia kwa kusema,Aikael alizubaa Nyerere, akamla maza akazaliwa magengeza
 
So touching!

Mbowe ni mnyama mwenye kichwa Cha mbwa
 
Mahaba ya kumpa mtoto wako jina la mtu mwingine tena mchaga huwa mnatoa wapi??

Mshawahi kuona mchaga kachorwa hata tattoo?? Hao watu kwenye pesa hawaaminiki..!!

Bado Sugu naye kutoa milio ya jina la makengeza..!!

Wachagga tunawajua sisi watu wa huku kaskazini, Wapare, Wamasai, Wasambaa, Wameru, n.k.

Kwenye pesa hawapepesi macho ma hawanaga simile.
Ingawaje sio wote.

Kumpa nafasi ya juu sana mchagga bado inahitaji utafiti mkubwa. Kama walivyosema Wakina Nyerere ingawaje sikubaliani na mtazamo wa mtu kwenye generalization lakini kuna kaukweli fulani
 
Ukimuona mtu anachukulia politics serious sana basi ni mshamba ,ona amekuwa disappointed kwa ujinga wake.

Wewe utakuwa na matatizo.

Hivi unafikiri hao wanaokwenda mbali mpaka wanaua raia hawaichukulii siasa serious.

Wangekuwa hawako serious lro akina Polepole. Mdude, Soka, Ben Saanane na Kaswahili wangekuwepo mtaani.
 
Wewe utakuwa na matatizo.

Hivi unafikiri hao wanaokwenda mbali mpaka wanaua raia hawaichukulii siasa serious.

Wangekuwa hawako serious lro akina Polepole. Mdude, Soka, Ben Saanane na Kaswahili wangekuwepo mtaani.
Lazima amani ilindwe ,bado mshamba sana ; bora kufanya vile kuliko kuachwa kufanya ujambazi wa mali za watu.
 
So touching, hata sisi tusio wanasiasa tumeumia, sio sawa hata kidogo.
Huenda hata attempt ya assassination ya TAL ilikuwa plotted na huyu jamaa, who knows!
BTW, wachaga mbele ya pesa wanaweza kufanya lolote, the man's so selfish!!
Wachagga wapo selfish sana kwa wengi wak, sio kwa wanaume hadi kwa wanawake, mbele ya pesa hakuna kitu kinashindikana kwake. Mbowe kaonesha udhaifu mkubwa wa hali ya juu sana ktk siasa za Tz.

Mimi naamini jamaa alivyoendaga kule White House alinunuliwa huko mazima na JPM, na ile project ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama na zile pesa zilizotolewa za hongo kwa wanachama ni dhahiri jamaa alishanunuliwa.
 
Siwezi jibizana na wauwaji siku zote dam za watu huwa hazimuachi muuaji akiwa salama Pole kwa kutumiawa na walafi wa madaraka kukutumia na wewe kwa njaa zako ukaingia mkenge Ila unayo nafasi NENDA kawe kwa mwamposa akakuombee pia upate wasaa wa kutubu madhambi yako .
 
Men are generally "ungrateful, fickle, false, cowardly, [and] covetous"-Niccolo Machiavelli
 
Aache kulia Lia hawa Vijana yeye MMM, Ntobi na Yericko Nyerere walikuwa team FAM wakati huo Wana Mabadiliko wote wakiamini tatizo la Chadema ni FAM Kwasbabu yupo compromised na Dolla

Walipiga kelele sana kumkingia kifua wakati huo tunawambia mbowe ni mfanya biashara wa kisiasa

Muda ni Mwalimu mzuri sana ndio mana tunaona leo rangi halisi ya Mbowe
 
FAM baada ya Kushindwa kwenye race ya Chairmanship wa Chadema itakuwa amekata fund kuwa support Hawa Vijana wake ndio mana wanatoa Milio

"Peleka moto peleka moto" by TAL
 
CHADEMA imekuzwa sana na Timu hii wakishirikiana kwa pamoja na Mbowe kwa zama hizo ambao ni Lissu,Dr.Slaa,Zitto,Lema, halima mdee, ester bulaya,ester matiko, joseph mbilinyi,professor J, na wengineo.
Kwa ulio wataja kamanda.. ni wangapi bado wapo huko .Alafu Prof.J sio kweli ndugu .Tuachane nayo,hivi makamanda mnafikiri ni sahihi Mbowe kutukanwa kila kukicha kwenye mitandao tangu Lissu awe mwenyekiti? Ninayo imani kua Lissu atakua huru lakini sio sawa kumtukana Mh.Mbowe
 
Kamanda unamuona Mbowe tu,je sisi tunaotii na kutumia miradi iliyojengwa na CCM tunatofauti naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…