Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Walidhani kila sehemu kuna wajinga wa kuwapeleka peleka tuCcm nao kumbe wanaweza kususia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walidhani kila sehemu kuna wajinga wa kuwapeleka peleka tuCcm nao kumbe wanaweza kususia?
Hajui ndo umuelekeze sio kuleta ujuaji kwani nani amekwambia kila mtu amefika huko ulipotaja?Hujajua tu?
Umewai fika mipaka ya Tanzania na nchi za EAC ukaona mabadiliko yaliyofanyika?
Ungekuwa pia unafanya biashara ndani ya EAC au una ndugu yako anasoma Kenya/Uganda usingeuliza hilo swali
Hahaah acha nao wafunzwe adabuNimecheka sana, huko nje ni ligi nyingine sio kama walivyozoea kuwakomoa Chadema wakiwa ndani ya Tanzania, nje wanakutana na mibabe wa wababe.....
Halina chochote yaani ni wapiga dili kama wenginehivi hili bunge linatusaidia nini sisi watu wa afrika mashariki,embu nijuzeni wadau...
Yaani huyo Kimbisa hata kura za watz kazikosa......[emoji3][emoji3][emoji3]
Andika kitu kieleweke, mimi nimerejea maelezo ya mjumbe toka Tanzania aliyekuwa anahojiwa na amezungumza hivyo, tena na kusisitiza kwamba hii ni zamu ya Rwanda na alitumwa kufanya mkutano na wabunge toka Tanzania kuwaeleza kwamba huo ndiyo msimamo wa serikali, sasa wewe unasangaa nini?, lete maelezo yenye ushahidi.Sijui unaongea vitu gani,eti" hayana baraka ya chama na sweikali" real??
Na walivyo wajinga eti wakatoka nje ukumbi! Ovyo kabisa hawa wanaoitwa wabunge wa tz!Sometimes kuna watu vichwa vyao havifanyi kazi, sababu ya Tanzania kutaka kuwa na mgombea wa kiti cha Speaker ni ipi wakati sio zamu yetu?..stupid
Huwa mara nyingi ninacheka kichinichini na kufarahia jinsi Magufuli anavyowaburuza mawaziri na watendaji serikalini, ninadhani ndiyo njia pekee ya kushughulika na watu vichwa maji kama hawa, huo ni mfano tu, lakini pale mjengoni wengi waliomo mule ni hamnazo bendera fuata upepo.Na walivyo wajinga eti wakatoka nje ukumbi! Ovyo kabisa hawa wanaoitwa wabunge wa tz!
Nakubaliana kabisa na wewe kuhusu wabunge wengi kufuata upepo, liwe lile la muungano au hawa wa EALA.Huwa mara nyingi ninacheka kichinichini na kufarahia jinsi Magufuli anavyowaburuza mawaziri na watendaji serikalini, ninadhani ndiyo njia pekee ya kushughulika na watu vichwa maji kama hawa, huo ni mfano tu, lakini pale mjengoni wengi waliomo mule ni hamnazo bendera fuata upepo.
Nakubaliana na wewe kuwa na mtazamo tofauti na Magufuli, lakini kumbuka hawa watu ni vichwa maji sana, juzi hukumbuki Magufuli alivyokuwa akimsema waziri Mwijage kwamba, "Nilikuambia tukiwa wawili mimi na wewe, nikarudia kukuambia katika kikao cha baraza la mawaziri, tena nikakuambia hadharani kule Tanga, lakini hadi leo hujatekeleza, leo ninakuambia mara ya mwisho hapa hadharani", japo sio stahili nzuri, lakini hawa watu wengi sana ni vichwa maji, ama unapambana nao uwashinde, au uachane nao usishughulike nao kama Kikwete nchi ijiendeshe yenyeweNakubaliana kabisa na wewe kuhusu wabunge wengi kufuata upepo, liwe lile la muungano au hawa wa EALA.
Lakini kwa upande wa magufuli jinsi anavyowaburuza mawaziri kwenye kadamnasi, hapo niko tofauti kidogo! Hiyo siyo style nzuri ya kuongoza! Awape makavu huko kwenye baraza la mawaziri, na ajenge mfumo mzuri.
Naomba isomeke vizuri, sijasema sikubaliani na magufuli, bali nimesema sikubaliani na magufuli katika suala la kuwakoromea viongozi mbele ya kadamnasi. Kuna tofauti kubwa hapo kati ya kauli hizo mbili! Kuna mambo namkubali magu na kuna mambo sikubaliani naye, mfano ni hili!Nakubaliana na wewe kuwa na mtazamo tofauti na Magufuli, lakini kumbuka hawa watu ni vichwa maji sana, juzi hukumbuki Magufuli alivyokuwa akimsema waziri Mwijage kwamba, "Nilikuambia tukiwa wawili mimi na wewe, nikarudia kukuambia katika kikao cha baraza la mawaziri, tena nikakuambia hadharani kule Tanga, lakini hadi leo hujatekeleza, leo ninakuambia mara ya mwisho hapa hadharani", japo sio stahili nzuri, lakini hawa watu wengi sana ni vichwa maji, ama unapambana nao uwashinde, au uachane nao usishughulike nao kama Kikwete nchi ijiendeshe yenyewe
Nadhani hukunielewa niliposema ninakubaliana na wewe kuwa na mtazamo tofauti na Magufuli, lengo langu lilikuwa ni hilo, kwamba yeye mtazamo wake katika hili ni kwamba akimkoromea hadharani waziri atawajibika zaidi hasa baada ya kuona kwamba aliwaambia wakiwa wawili na bado imeshindikana.Naomba isomeke vizuri, sijasema sikubaliani na magufuli, bali nimesema sikubaliani na magufuli katika suala la kuwakoromea viongozi mbele ya kadamnasi. Kuna tofauti kubwa hapo kati ya kauli hizo mbili! Kuna mambo namkubali magu na kuna mambo sikubaliani naye, mfano ni hili!
Sasa tukirudi kwenye hoja, kwa mfano huo huo wa mwijage, bado sio busara au niseme suruhisho kumwambia hadharani. Kwanza mambo wanayoambizana kwenye baraza la mawaziri hayatakiwi kuwa disclosed, Sasa kwa nini atwambie sisi hata anayowaambia huko?
Kama anaona waziri hafanyi anayomwagiza ni vyema akamtoa kwenye huo wadhifa. Hakuna mtu atamhoji akifanya hivyo.
Then hatuhitaji kuwa na watu vichwa maji wa style hiyo, kama kweli alichokuwa anakikoromea kingewezekana ndani ya mda alioutaka!Nadhani hukunielewa niliposema ninakubaliana na wewe kuwa na mtazamo tofauti na Magufuli, lengo langu lilikuwa ni hilo, kwamba yeye mtazamo wake katika hili ni kwamba akimkoromea hadharani waziri atawajibika zaidi hasa baada ya kuona kwamba aliwaambia wakiwa wawili na bado imeshindikana.
Nimesema kwamba japo sio njia nzuri sana, lakini kwa watu vichwa maji kama hawa ambao wanaambiwa mara kadhaa wakiwa private na hawatekelezi, sasa kwa unavyodhani wewe ni bora awafukuze kazi kuliko kuwakoromea hadharani, fine, huo ni mtazamo wako, ila mimi ninahisi so long as it works, aendelee kuwakoromia vichwa ngumu, na wakiendelea aendelee kuwafukuza kazi
Sijakuelewa, fafanuaThen hatuhitaji kuwa na watu vichwa maji wa style hiyo, kama kweli alichokuwa anakikoromea kingewezekana ndani ya mda alioutaka!
Just in!
Wasifu wa Martin Ngoga to follow soon.
Natamani iwe hata leoUrafiki utaingia ukakasi kuanzia sasa
Hamjui K vizuri
Atajuuuuta kumfahamu
Utafanya mambo ya chama bila kuwa na base ya chama? We unadhani kwa nini Zungu aliagizwa aende huko? Halafu umesikia utetezi wao? Eti kwa sababu baadhi ya wakuu wa nchi hawaelewani, hivyo speaker toka Tanzania ange balance mambo.Wala sio kweli, kwasababu mjumbe mmoja alieleza kuwa mkutano mkuu wa CCM msimamo wake no kwamba hii ni zamu ya Rwanda, sio Tanzania, kwahiyo maamuzi ya kuweka mgombea speaker hayana baraka za chama na Serikali